Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Sukuma gang wanafanikisha nia yao sasawamemzidi akili hakuna namna
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sukuma gang wanafanikisha nia yao sasawamemzidi akili hakuna namna
YapSukuma gang wanafanikisha nia yao sasa
Wanaponzwa na ardhi yao masikiniMasikini Wamasai wa Ngorongoro
Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.View attachment 2744983
Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.
Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.
Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!
Freeman Mbowe
Mtandao wa X
Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Wewe ajuza una laana unakodi vibenten vikupakue mtaro wajukuu kabisa unawainamia kwa sababu ya hela zako za kifisadi.Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.
Eti unalaani, dunia haiishiwi wachekeshaji.
Pumbaf wewe ajuza,Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.
Eti unalaani, dunia haiishiwi wachekeshaji.
Starehe hiyo alinifundisha mama'ko.Wewe ajuza una laana unakodi vibenten vikupakue mtaro wajukuu kabisa unawainamia kwa sababu ya hela zako za kifisadi.
Wanaharakati wapi hao nje ya cdm waliowahi kudai haki za watanzania?Mheshimiwa Mbowe!
Usiishie tu kulaani ukamataji wa viongozi wa Chadema pekee bali laani ukamataji wote unaofanyika kwa wanaharakati wanaopinga maovu, ufisadi na ukandamizaji wa haki nchini.
Kuishia kulaani ukamataji kwa wafuasi wa Chadema pekee ni ishara ya Ubinasi.
ni kweli. Hadi KIngai kuwa DCIMaridhiano mbona yalishavunjika siku nyingi...
Wewe ni zaidi ya jamvi hapo lumumba.Starehe hiyo alinifundisha mama'ko.
Hebu tazama oicha ya mbiwe juu hapo, unambie anatazama mbele au kulia au kushoto?
Wewe mbona una laana ya kujiuza?Sasa nwenye laana ya kuuza, malaya na pombe anaweza kumlaani mtu kweli?
Hizo laana za kichaga?
Tusichekeshane.
Wewe ni zaidi ya MalayaSasa nwenye laana ya kuuza, malaya na pombe anaweza kumlaani mtu kweli?
Hizo laana za kichaga?
Tusichekeshane.
Kama mngeandamana kipindi kile yupo Gerezani maridhiano angeyatafuta Samia na siyo Mbowe ila mliposhindwa kufanya hivyo hakuwa na namna.Mbowe aachane na haya maridhiano ya kijinga ajikite kwenye kupambana na huu utawala dhalimu
Hata Tamari katika bibi zake Yesu kwenye bibilia alikuwa kahaba. Umesahau? Au hujasoma Sunday school wewe?Wewe ni zaidi ya jamvi hapo lumumba.
Umalaya wako unao fanya tunaujua
We mjinga, akija police akakwambia umpishe chumbani apumzike na mkeo utatii amri?"Tii sheria bila shuruti", hiyo ndiyo motto ya Polisi Tanzania. Ukitaka kupishana nao KAIDI ndiyo utajuwa uwezo wao.
Lissu alipaswa kwenda kuuliza kwenye mamlaka husika kwa nini hawataki aende. Period
Haya mengine ni kutaka uchokozi tu na mamlaka. Halafu kwa mtu ambaye ni mwanasheria na anatarajia kuja kuomba ridhaa ya uongozi wa nchi, alipaswa aonyeshe kiwango cha juu cha nidhamu.
Utampaje uRais mtu ambaye kichwa chake na cha Mdude Chadema hakina tofauti.
Si walishasema hayapo tenaMbowe aachane na haya maridhiano ya kijinga ajikite kwenye kupambana na huu utawala dhalimu