Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

View attachment 2744983

Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.

Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.

Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!

Freeman Mbowe
Mtandao wa X

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.

Eti unalaani, dunia haiishiwi wachekeshaji.
 
Mbowe hiyo statement sio sahihi. Hakuna kilichobadilika bali nyie ndio mlibadilika na kuanza kuamini kirahisi #wahuni
 
Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.

Eti unalaani, dunia haiishiwi wachekeshaji.
Wewe ajuza una laana unakodi vibenten vikupakue mtaro wajukuu kabisa unawainamia kwa sababu ya hela zako za kifisadi.
 
Wewe mbowe una laana ya kuuza Pombe na malaya. Ungeanza kuomba toba.

Eti unalaani, dunia haiishiwi wachekeshaji.
Pumbaf wewe ajuza,
Malaya ni wewe unayejiuza kwa watoto wadogo.

Ukiendeleza mitusi yako kwa viongozi wa cdm tutakuanika uchafu wako wote unao ufanya.
 
Mheshimiwa Mbowe!
Usiishie tu kulaani ukamataji wa viongozi wa Chadema pekee bali laani ukamataji wote unaofanyika kwa wanaharakati wanaopinga maovu, ufisadi na ukandamizaji wa haki nchini.
Kuishia kulaani ukamataji kwa wafuasi wa Chadema pekee ni ishara ya Ubinasi.
 
Wewe ajuza una laana unakodi vibenten vikupakue mtaro wajukuu kabisa unawainamia kwa sababu ya hela zako za kifisadi.
Starehe hiyo alinifundisha mama'ko.

Hebu tazama oicha ya mbiwe juu hapo, unambie anatazama mbele au kulia au kushoto?
 
Mheshimiwa Mbowe!
Usiishie tu kulaani ukamataji wa viongozi wa Chadema pekee bali laani ukamataji wote unaofanyika kwa wanaharakati wanaopinga maovu, ufisadi na ukandamizaji wa haki nchini.
Kuishia kulaani ukamataji kwa wafuasi wa Chadema pekee ni ishara ya Ubinasi.
Wanaharakati wapi hao nje ya cdm waliowahi kudai haki za watanzania?

Ebu kuwa muwazi ili tujue ni watu gani watetea haki za watanzania zaidi ya wana CHADEMA?
 
Starehe hiyo alinifundisha mama'ko.

Hebu tazama oicha ya mbiwe juu hapo, unambie anatazama mbele au kulia au kushoto?
Wewe ni zaidi ya jamvi hapo lumumba.

Umalaya wako unao fanya tunaujua
 
Sasa nwenye laana ya kuuza, malaya na pombe anaweza kumlaani mtu kweli?

Hizo laana za kichaga?

Tusichekeshane.
 
Mbowe aachane na haya maridhiano ya kijinga ajikite kwenye kupambana na huu utawala dhalimu
Kama mngeandamana kipindi kile yupo Gerezani maridhiano angeyatafuta Samia na siyo Mbowe ila mliposhindwa kufanya hivyo hakuwa na namna.
 
Wewe ni zaidi ya jamvi hapo lumumba.

Umalaya wako unao fanya tunaujua
Hata Tamari katika bibi zake Yesu kwenye bibilia alikuwa kahaba. Umesahau? Au hujasoma Sunday school wewe?
 
"Tii sheria bila shuruti", hiyo ndiyo motto ya Polisi Tanzania. Ukitaka kupishana nao KAIDI ndiyo utajuwa uwezo wao.

Lissu alipaswa kwenda kuuliza kwenye mamlaka husika kwa nini hawataki aende. Period

Haya mengine ni kutaka uchokozi tu na mamlaka. Halafu kwa mtu ambaye ni mwanasheria na anatarajia kuja kuomba ridhaa ya uongozi wa nchi, alipaswa aonyeshe kiwango cha juu cha nidhamu.

Utampaje uRais mtu ambaye kichwa chake na cha Mdude Chadema hakina tofauti.
We mjinga, akija police akakwambia umpishe chumbani apumzike na mkeo utatii amri?
 
Back
Top Bottom