Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

Freeman Mbowe: Ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia

Starehe hiyo alinifundisha mama'ko.

Hebu tazama oicha ya mbiwe juu hapo, unambie anatazama mbele au kulia au kushoto?
Kahaba umeandika nini hapa au kuna kibenten kimekuning'iniza hapo. Mtu mzima ovyo unafokolewa na vijukuu.
 
Mungu wa mbinguni mrehemu shujaa Magufuli
Naomba kama magu hakuhusika kifo cha Ben saa nane wanangu wote na kama Ali husika wafe haraka wako wote.ili umuite shujaa.unapoteza watoto kwenye kuwaza ukuu wa wilaya
 
View attachment 2744983

Tunalaani ukamataji, unyanyasaji, usumbufu unaofanywa na Jeshi la Polisi na Vyombo vingine vya Dola kwa Makamu Mwenyekiti wa Chama chetu Mhe Tundu Lissu, viongozi wengine waandamizi wa ngazi mbalimbali, wanachama na wapenzi wetu huko Mkoani Arusha.

Kwa uzito huo huo, tunalaani uzuiaji wa mikutano yetu na shughuli halali za kisiasa huko Ngorongoro, Loliondo na Karatu.

Tuna hofu kubwa ya usalama wa watu wetu na ni dhahiri sasa Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan inarejesha Utawala wa mabavu usiothamini haki, Uhuru na Demokrasia. Tunafuatilia kwa karibu na tunadai kuachiliwa haraka na bila masharti kwa watu wetu wote!

Freeman Mbowe
Mtandao wa X

Pia soma: Breaking News: - Tundu Lissu akamatwa na Polisi akiwa Ngorongoro hotel Wilayani Karatu
Huyu naye ana boa si alisema anakuja mmponyaji
 
Huyu Samia ni wa kwenda nae sawa, ameshaonesha ushetani wake muda mrefu sana, sasa ni wakati wa kubadili aina ya siasa wanazofanya Chadema.

Ni kiongozi mweupe asiye na kitu kichwani, hata kama wakikaa nae wakaongea nae kwenye maridhiano, lakini anaonekana wazi wapo wanaomuendesha kama mdoli, huyu ni rahisi sana kwenda kinyume na makubaliano ya awali, wasimuamini.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Tii sheria bila shuruti", hiyo ndiyo motto ya Polisi Tanzania. Ukitaka kupishana nao KAIDI ndiyo utajuwa uwezo wao.

Lissu alipaswa kwenda kuuliza kwenye mamlaka husika kwa nini hawataki aende. Period

Haya mengine ni kutaka uchokozi tu na mamlaka. Halafu kwa mtu ambaye ni mwanasheria na anatarajia kuja kuomba ridhaa ya uongozi wa nchi, alipaswa aonyeshe kiwango cha juu cha nidhamu.

Utampaje uRais mtu ambaye kichwa chake na cha Mdude Chadema hakina tofauti.
Wote wangekuwa na akili kama zako kusingekuwepo na neno "UKOMBOZI". Mandela angetii mamlaka, AFRIKA Kusini ingekuwa bado koloni. Nyerere angetii mamlaka, Tanganyika ingekuwa bado koloni. Mawazo haya yako CCM tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Wote wangekuwa na akili kama zako kusingekuwepo na neno "UKOMBOZI". Mandela angetii mamlaka, AFRIKA Kusini ingekuwa bado koloni. Nyerere angetii mamlaka, Tanganyika ingekuwa bado koloni. Mawazo haya yako CCM tu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Sasa Lissu anakomboa nini toka kwa nani?
 
Sababu hakuna namna, lazima wachochezi wa uvunjivu amani washughulikiwe ipasavyo.
 
Serikali tuelewesheni Kwa mapana na marefu kwanini hamtaki hii jamii adim Africa ikae huko Ngorongoro. This is very serious issue.
Nani kakuambia wamasai ni jamii adimu? Kuna wamasai Chalinze, Dar es Salaam, Zanzibar etc. Wako wanasuka nywele, wanauza nail cutter, sandals. Wengine ni beach boys Zanziba wanaruka na watalii.

Tusitafute sababu za uwongo. Hii siyo jamii ya kwanza kuhamishwa kwenye maeneo yao.
 
Back
Top Bottom