Freeman Mbowe, ni wakati wako sasa wa kuachia ngazi kwa heshima, siasa za kuonewa huruma hazitoifikisha mbele CHADEMA

KING MIDAS

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
8,589
Reaction score
16,936
MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.

Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM.

Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na kwa kweli hazina tija kwa chama chake wala kwa Watanzania maana tunataka chama kinachoweza kujisimamia chenyewe.

Mbowe mchango wake kwenye maendeleo ya demokrasia na utawala bora hapa Nchini hakuna asiyeujua wala hakuna atakayepinga namna alivyokiwezesha chama chake kufikia kilele cha siasa za ushindani Nchini cha muhimu sasa apumzike ili kulinda haya yote aliyoyapambania kwa miaka mingi.

Kwa siasa zetu sasa Chadema inahitaji Mwenyekiti wa kariba ya Tundu A. M. Lissu na wenye mwelekeo huo ili kuihuisha Chadema iweze kuendelea kuwa mbadala wa CCM vinginevyo nawaona wakielekea walipo NCCR, CUF na UDP.

Kiukweli kabisa kabisa mimi kama mtalaamu wa Sayansi ya Siasa naona Mbowe amefika mwisho hana jipya na hana namna yeyote ya kusogeza chama chake mbele kwa kifupi ameishiwa silaha na Kiongozi ukifikia hatua hii pisha wenye mawazo mapya, maono mapya, ari mpya na nguvu mpya ili chama chenu kiendelee kusonga mbele na kuwa tumaini la Watanzania wapenda mabadiliko.

Kama Political scientist nachoweza kuwashauri Chadema bure kabisa ni Mbowe kupumzika ili kuhuisha Chadema chake na harakati za kupigania demokrasia na utawala bora Nchini.

Mwenekhelonga Fadhili Sanga.
 
Tundu lisu hana charisma ya kuongoza taasisi kama chama. Lisu ni individualist (selfish) anayejiangalia yeye binafsi kabla ya mtu mwingine yeyote, hawezi kuongoza chama. Kama mnataka chama kife basi mpeni lisu huo uongozi.
 
Makamanda watakuparua mpaka utajuta kuanzisha huu uzi. Ila hata mimi kwa upande wangu nilifikiri kitambo tu CHADEMA ilihitaji Mwenyekiti mpya ili pia kuondoa ile dhana potofu ya kukihusisha hicho chama na ukanda fulani.

Kwangu mimi nadhani Kamanda John Heche angekuwa Mwenyekiti, vijana wengi nchini wangemuunga mkono! Na ukombozi wa kweli wa nchi ungeanzia hapo. Tukubali tu kila kitabu kina zama zake. Kuhusu Kamanda Tundu Lissu, nadhani na yeye angebakia tu kuwa mlezi wa chama kama Mbowe.
 
MBOWE SASA NI WAKATI WA KUPUMZIKA KWA HESHIMA CHAMA MUACHIE TUNDU LISSU.

Ikiwa Chadema itaendelea kuwa chini ya uongozi wa Mbowe basi wana miaka michache sana kwenye siasa za Nchi hii kama chama kilichodhaniwa mbadala wa CCM.

Siasa za Mbowe za kuonewa huruma kila mara Wananchi tumezichoka na kwa kweli hazina tija kwa chama chake wala kwa Watanzania maana tunataka chama kinachoweza kujisimamia chenyewe.

Mbowe mchango wake kwenye maendeleo ya demokrasia na utawala bora hapa Nchini hakuna asiyeujua wala hakuna atakayepinga namna alivyokiwezesha chama chake kufikia kilele cha siasa za ushindani Nchini cha muhimu sasa apumzike ili kulinda haya yote aliyoyapambania kwa miaka mingi.

Kwa siasa zetu sasa Chadema inahitaji Mwenyekiti wa kariba ya Tundu A. M. Lissu na wenye mwelekeo huo ili kuihuisha Chadema iweze kuendelea kuwa mbadala wa CCM vinginevyo nawaona wakielekea walipo NCCR, CUF na UDP.

Kiukweli kabisa kabisa mimi kama mtalaamu wa Sayansi ya Siasa naona Mbowe amefika mwisho hana jipya na hana namna yeyote ya kusogeza chama chake mbele kwa kifupi ameishiwa silaha na Kiongozi ukifikia hatua hii pisha wenye mawazo mapya, maono mapya, ari mpya na nguvu mpya ili chama chenu kiendelee kusonga mbele na kuwa tumaini la Watanzania wapenda mabadiliko.

Kama Political scientist nachoweza kuwashauri Chadema bure kabisa ni Mbowe kupumzika ili kuhuisha Chadema chake na harakati za kupigania demokrasia na utawala bora Nchini.

Mwenekhelonga Fadhili Sanga.
Mbowe anakusanya Kodi? KWa nini mnafikiria kwa kutumia utumbo mkubwa?

Mbowe ndio anafanya wamama wajawazito walipisjwe oesa badala ya kujifungua bure?

Mbowe ndio anafanya magari yavkubebea wagonjwa yawatoze raia pesa ilihali yamenu uliwa kwa pesa za umma?

SIkiliza wewe mjinga Mbowe hakusanyi kodi na adui wa hii nchi ni CCM
 
Makamanda watakuparua mpaka utajuta kuanzisha huu uzi. Ila hata mimi kwa upande wangu nilifikiri kitambo tu CHADEMA ilihitaji Mwenyekiti mpya ili pia kuondoa ile dhana potofu ya kukihusisha hicho chama na ukanda fulani.

Kwangu mimi nadhani Kamanda John Heche angekuwa Mwenyekiti, vijana wengi nchini wangemuunga mkono! Na ukombozi wa kweli wa nchi ungeanzia hapo. Tukubali tu kila kitabu kina zama zake. Kuhusu Kamanda Tundu Lissu, nadhani na yeye angebakia tu kuwa mlezi wa chama kama Mbowe.
kule Kenya mbona kuna Movement nyingi sana nje ya vyama? Wakenya hawatumii vyama tena, sasa kwani ni lazima muitumie CDM?mkuu toka anzisha movement yako watu watakusikiliza tu.

Wabongo tumejaa unafikia mno na kujificha nyuma ya keybord.

Upinzani sio Chama ni Ideology, sasa unaona Chama hakifai wewe endeleza novement zako acha unafiki wa kujificha nyuma ya keybord na yakiitishwa maandamano hutoki.
 
Wakenya huwezi wasikia wana mawazo ya utumbo kama haya, Wakenya wanaona vyama vya upinzanivvinawachelewesha wamenzisha movement nje ya vyama na zina nguvu, Nyie kutwa nzima ni CDM na Mbowe,

Hao wana kandamiza Democrasia hamuwaoniz
 
Mada inaongelea CHADEMA na mwenyekiti wake Mbowe. Hayo ya kuanzisha movement, ni nje ya mada. Hivyo ikikupendeza, anzisha uzi halafu tutachangia.

Halafu kuzifananisha siasa za Tanzania na Kenya, nadhani pia utakuwa unapotoka. Maana kwa ufupi tu hazifanani. Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila! Je, Tanzania nako kuna ukabila uliokomaa kama ule wa Kenya?

Unaniambia nianzishe movement yangu kama wafanyavyo Wakenya! Je, nimekuambia niko interested na hayo mambo? Au kutoa maoni na mtazamo na yenyewe ni kosa humu jukwaani?
 
Kuna watu ni wapumbavu sana bonga na kwelikwa mujibu wa Jomo Kenyata Tanganyiia imejaa Maiti, unaweza zania Mbowe anakusanya Kodi, yaani ndio anafanya maisha yawe magumu.

Nchi zote kuanzia Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Zimbabwe, na nchi zi ginginezo wanakomaa na Vyama tawala kwa sababu ndio vinakusanya kodi na ndio vinafanya maisha ya raia yawe magumu sana, Tanzania ya Maiti inakomaa na Upinzani.

Tanzania wajinga wanakwepesha Magori wanakomaa na upinzani wanaanzisha movement sio dhidi ya Chama tawala hapana dhidi ya Chama cha upinzani kisicho na mamlaka na wala kisicho kusanya kodi, CCM inayo fanya life liwe gumu hawaigusi.

Mbowe au CDM ndio wakusanya kodi wa hii nchi?
Acheni ujinga.
 
Mimi alinikera nikamtoa kwenye profile Pic nikamuweka Rais wangu Kagame
 
Mada inaongelea CHADEMA na meenyekiti wake Mbowe. Hayo ya kuanzisha movement, ni nje ya mada. Hivyo ikikupendeza, anzisha uzi halafu tutachangia.

Halafu kuzifananisha siasa za Tanzania na Kenya, nadhani pia utakuwa unapotoka. Maana kwa ufupi tu hazifanani. Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila! Je, Tanzania nako kuna ukabila uliokomaa kama ule wa Kenya?

Unaniambia nianzishe movement yangu kama wafanyavyo Wakenya! Je, nimekuambia niko interested na hayo mambo? Au kutoa maoni na mtazamo na yenyewe ni kosa humu jukwaani?
Wafuatilie wakina Kebaso uone kama anapata sapoti ya Kabila lake, Okay hakuna ukabila Tanzania, Oka okay, Sasa wewe huwezi mfano anzisha movement?Anzisha movement kama unaona CDM hakifai kwani ni lazima CDM tu?

Tukisema mnatumiwa na CCM tutakuwa tunakosea? make watu aina yako ni wapumbavu sana.

Mnaona CDM haina muelekeo anzisheni movement, raia si wapo watawasapoti? si hakuna Ukabila tena ndio vizuri? acha kuwaza kwamba Mabadiliko lazima piga ua galagaza yaletwe kupitia Chama na hicho chama kiwe ni CDM tu.

kutwa nzima ni Mada za kumsakama Mbowe, acheni uchawa.
 
Mada inaongelea CHADEMA na meenyekiti wake Mbowe. Hayo ya kuanzisha movement, ni nje ya mada. Hivyo ikikupendeza, anzisha uzi halafu tutachangia.

Halafu kuzifananisha siasa za Tanzania na Kenya, nadhani pia utakuwa unapotoka. Maana kwa ufupi tu hazifanani. Siasa za Kenya zimeegemea kwenye ukabila! Je, Tanzania nako kuna ukabila uliokomaa kama ule wa Kenya?

Unaniambia nianzishe movement yangu kama wafanyavyo Wakenya! Je, nimekuambia niko interested na hayo mambo? Au kutoa maoni na mtazamo na yenyewe ni kosa humu jukwaani?
Sasa kama hauko Intrested ishu za CDM unakomaa nazo za nini? Au umezaliwa kuja kutoa ushauri kwa CDM?
Upinzani ni ideology, upinzani unaweza hata anzia ndani ya CCM au nje kabisa ya vyama vya siasa.
 
Kuna watu ni wapumbavu sana bonga na kwelikwa mujibu wa Jomo Kenyata Tanganyiia imejaa Maiti, unaweza zania Mbowe anakusanya Kodi, yaani ndio anafanya maisha yawe magumu.

Nchi zote kuanzia Kenya, Uganda, Malawi, Zambia, Zimbabwe, na nchi zi ginginezo wanakomaa na Vyama tawala kwa sababu ndio vinakusanya kodi na ndio vinafanya maisha ya raia yawe magumu sana, Tanzania ya Maiti inakomaa na Upinzani.

Tanzania wajinga wanakwepesha Magori wanakomaa na upinzani wanaanzisha movement sio dhidi ya Chama tawala hapana dhidi ya Chama cha upinzani kisicho na mamlaka na wala kisicho kusanya kodi, CCM inayo fanya life liwe gumu hawaigusi.

Mbowe au CDM ndio wakusanya kodi wa hii nchi?
Acheni ujinga.
Hivi unaelewa hoja inahusu nini au umekurupuka tu kujibu kisa katajwa Mbowe na wewe ni mpiga zumari.

Jitahidi kuelewa hoja na kuzijibu sio kujibu kimahaba.

Hao CCM ili kuwarekebisha au kuwatoa madarakani unahitaji vyama vya siasa vyenye nguvu.

Ili uwe na hivyo vyama vya siasa imara unahitaji viongozi imara pia.

Kwanini wafuasi wa Mbowe mkiona mtu anasema akae pembeni mnamuona kama adui.

Kama akili zinafanya kazi basi nakwambia uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti ni faida zaidi kwa CCM kuliko unavyofikiria.

Siku pale CDM akipatikana mwenyekiti mwenye umbowe na Ulisu basi nakuhakikishia haitapita miaka mi5 hadi Vat itashuka.

Taasisi yeyote imara ni ile isiyotegemea mtu ila kama bado inategemea mtu ili iendelee basi hiyo sio Taasisi imara.

Kama bado mnaendelea na akili za kuamini Mbowe ndio ana akili zaidi kuliko wote mule ndani,basi iko chama hakistahili kuongoza nchi maana kina mtu mmoja tu mwenye uwezo wakuongoza wengine.
 
..mimi nadhani Mzee Hafizi aje amchukue mke wake. uongozi umemshinda, hakuna anayeheshimu kauli yake.
 
Hivi unaelewa hoja inahusu nini au umekurupuka tu kujibu kisa katajwa Mbowe na wewe ni mpiga zumari.

Jitahidi kuelewa hoja na kuzijibu sio kujibu kimahaba.

Hao CCM ili kuwarekebisha au kuwatoa madarakani unahitaji vyama vya siasa vyenye nguvu.

Ili uwe na hivyo vyama vya siasa imara unahitaji viongozi imara pia.

Kwanini wafuasi wa Mbowe mkiona mtu anasema akae pembeni mnamuona kama adui.

Kama akili zinafanya kazi basi nakwambia uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti ni faida zaidi kwa CCM kuliko unavyofikiria.

Siku pale CDM akipatikana mwenyekiti mwenye umbowe na Ulisu basi nakuhakikishia haitapita miaka mi5 hadi Vat itashuka.

Taasisi yeyote imara ni ile isiyotegemea mtu ila kama bado inategemea mtu ili iendelee basi hiyo sio Taasisi imara.

Kama bado mnaendelea na akili za kuamini Mbowe ndio ana akili zaidi kuliko wote mule ndani,basi iko chama hakistahili kuongoza nchi maana kina mtu mmoja tu mwenye uwezo wakuongoza wengine.
We mjinga kweli elewa kwamba Upinzani sio Chama wala Mbowe, umeenda shule? ndio CCM inawatuma mje kuleta utumbo humu kwamba ili mabdikiko yatokee Mbowe aondoke, hawawashauri muanzishe chama kipya?

Kwa hio ili VAT ishuke ni lazima CDM ireact kwa sababu yenyewe kama chama ndio inalipa VAT? Hizi akili mnazitoa wapi? na ndio hizi pia unazitumia kuvukia Barabara au kuna akili zingine.
 
Hivi unaelewa hoja inahusu nini au umekurupuka tu kujibu kisa katajwa Mbowe na wewe ni mpiga zumari.

Jitahidi kuelewa hoja na kuzijibu sio kujibu kimahaba.

Hao CCM ili kuwarekebisha au kuwatoa madarakani unahitaji vyama vya siasa vyenye nguvu.

Ili uwe na hivyo vyama vya siasa imara unahitaji viongozi imara pia.

Kwanini wafuasi wa Mbowe mkiona mtu anasema akae pembeni mnamuona kama adui.

Kama akili zinafanya kazi basi nakwambia uwepo wa Mbowe kama mwenyekiti ni faida zaidi kwa CCM kuliko unavyofikiria.

Siku pale CDM akipatikana mwenyekiti mwenye umbowe na Ulisu basi nakuhakikishia haitapita miaka mi5 hadi Vat itashuka.

Taasisi yeyote imara ni ile isiyotegemea mtu ila kama bado inategemea mtu ili iendelee basi hiyo sio Taasisi imara.

Kama bado mnaendelea na akili za kuamini Mbowe ndio ana akili zaidi kuliko wote mule ndani,basi iko chama hakistahili kuongoza nchi maana kina mtu mmoja tu mwenye uwezo wakuongoza wengine.
Kwani ni lazima wanao ongoza watokee CDM? Humu mnajifanya wajasiri on the ground hamuonekani.

Kama CDM haifai je hamuwezi anzisha chama kipya na CDM ikajifia zake?
Taifa limejaa wajinga sana
 
unauhakika gani huruma kuwa inamponza ?je umefikiria faida anayoipata kuwa mwenyekiti wa Chama?

Muache atengeneze pesa za uchaguzi 2025 then ataacha madaraka kwa wengine.
 
Back
Top Bottom