Elias Msuya
Platinum Member
- Dec 23, 2011
- 267
- 1,014
Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenuHuyu ana kinyongo
Leo mnamtetea Mbowe?Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenu
Yeye binafsi ndie alikuwa mgharimia chama ruzuku ikiwa haitoshi
Awe na kinyongo kwa lipi labda lofa wewe
Mlivyokuwa mnamwita Nkrunzinza!?Mwamba mwanzilishi wa CHADEMA akiwa kijana Freeman Mbowe yuko sahihi
Ni kweli wenye madaraka ndo wenye haki ya kuwasha na kuwashwaView attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Ni busara kukaa kimya,japo kimya kingi kina mshindo mkuu,akibadilisha gia angani,View attachment 3339031

Trump ambaye ni trilionea aliendesha Kampeni zake kwa tone tone. Halafu wakati wa "join the chain" mliosema kuwa anakula zile Hela siyo nyie?Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenu
Yaani kuna kitu mnamdai Mbowe?Kawaachia Chama baada ya Uchaguzi bado mpo obsessed. Ni inferiority complex ya hali ya juu.Huyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda.
Hakusoma alama za nyakati na kufanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama ambavyo hata Mama Abduli hataki kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya busara angali mapema.