PreGE2025 Freeman Mbowe: Niseme nini? Tukiongea watasema tunawashwawashwa, wasemao ni wenye mamlaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mbowe kajibu sawa

Mumeshashika uongozi endeleeni na mambo yenu ndio maana mlimshinda uchaguzi kuwa yeye kazeeka na hayuko vizuri kisiasa za upinzani

Nyie mlio vizuri sasa si muendelee na siasa zenu zilizo vizuri kipinzani sababu Mbowe mlimtuhumu kama kibaraka wa CCM kapokea pesa za Abdul

Mnamtakia nini sasa kibaraka wa CCM mla pesa za Abdul na ambaye alikuwa anakwamisha CHADEMA kuzuia kisiwe chama serious cha Upinzani kuwa kalamba asali

Wajinga nyie pambaneni na hali zenu
 
Mnamchokonoa sana, mnstaka aongee mpate pa kuanzia.

Chadema inauongozi yete aongee nini?

Mjumbe wa kamati kuu siyo pake yake kwanini msitake wajumbe wengine waongee, wao hawaoni hao wanaohama?
Sahihi
 
Yaani kuna kitu mnamdai Mbowe?Kawaachia Chama baada ya Uchaguzi bado mpo obsessed. Ni inferiority complex ya hali ya juu.
Uko sahihi

Wajinga sana hawa.Mbowe wanamdai?
 
View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.

Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.

Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.

Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze

Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”

Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
na huo ndio ustaarabu kwa asie kiongozi:putinWalk:
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Mbowe hajaanzisha Chadema bwashee 😁
Mwenyekiti wa kwanza wa vijana CHADEMA ilipoanzishwa wa vijana CHADEMA alikuwa Mbowe

Rekodi ziwekwe vizuri
Na ndio ilikuwa idara ya kwanza ya CHADEMA ilipoanzishwa..CHADEMA ilipoanza tu ilianza na tawi la vijana na Mwenyekiti wa kwanza ni Mbowe
 
Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenu

Yeye binafsi ndie alikuwa mgharimia chama ruzuku ikiwa haitoshi
Awe na kinyongo kwa lipi labda lofa wewe

Haamini kama alishindwa uchaguzi

Na hayo uliyosema ndio yanamshangaza why wanachadema hawakumchagua
 
View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.

Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.

Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.

Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze

Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”

Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Bora tu akaye kimya, mtu ambaye hata kufika mahakamani kashindwa, huku hata wakenya ambao hawqguswa na ujambazi wa Samia bado wameona umhimu wa kuja mahakamani. Halafu mwenyekitu wa chama mstaff unakosaje kufika mahakamani? Matendo yanaongea kwa sauti kubwa kuliko maneno.
 
View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.

Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.

Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.

Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze

Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”

Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Akaeee kimyaa asiongezeee saratani ya Siasa kwenye hii nchii
 
Huyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda.

Hakusoma alama za nyakati na kufanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama ambavyo hata Mama Abduli hataki kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya busara angali mapema.

Sisi wengine ni watu wadogo sana, tunachofanya ni kushauri tu, ila muda ndio kila kitu.
Mahakamani alikuwepo,tafuta jungine.
 
Back
Top Bottom