Mkono Mmoja
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 4,994
- 9,625
Msaliti wa kwanza wa chadema ni FAM...siku watakapogundua itakuwa too late
kukaa kimya wakati wenzako wanaumia na kudhulimiwa sio busara bali ni cowardness.Ni busara kukaa kimya,japo kimya kingi kina mshindo mkuu,akibadilisha gia angani,
Tutamkuta kwenye ilani ya ubwabwa.
ndo maana nikahitimisha kwa kusema kimya kingi kina mshindo mkuukukaa kimya wakati wenzako wanaumia na kudhulimiwa sio busara bali ni cowardness.
mbona yeye wakati amekamatwa wenzake walipaza sauti bila ya kujali kuwa ni viongozi ama si viongozi .Leo hii yamewafika wenzake ,anadai kuwa hawezi kusema kitu kwakuwa sio kiongozi.ndo maana nikahitimisha kwa kusema kimya kingi kina mshindo mkuu
Hapo ndo utaelewa maana ya neno ''asomaye na afahamu''mbona yeye wakati amekamatwa wenzake walipaza sauti bila ya kujali kuwa ni viongozi ama si viongozi .Leo hii yamewafika wenzake ,anadai kuwa hawezi kusema kitu kwakuwa sio kiongozi.
Aliitisha maandamano na wenzake wakamziria akajikuta yupo na mwanae tu...Sasa nae kanyamaza mwachenii. Amewaachia demokrasia
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Kwenye Yale maandamano walikuwa wapi mpaka akajitokexa mwenyewe na binti?? SI walisusa? Mbona hakulalama?? Mnataka aongee mumwite Nkurunzinza?mbona yeye wakati amekamatwa wenzake walipaza sauti bila ya kujali kuwa ni viongozi ama si viongozi .Leo hii yamewafika wenzake ,anadai kuwa hawezi kusema kitu kwakuwa sio kiongozi.
maandamano feki wakati wenzake waliweka under house arrest siku 2 kabla yeye akaachiwa ili aje kujionesha kuwa ni mwamba?! Fungua macho uone hii michezo ya kisiasaKwenye Yale maandamano walikuwa wapi mpaka akajitokexa mwenyewe na binti?? SI walisusa? Mbona hakulalama?? Mnataka aongee mumwite Nkurunzinza?
Sasa angejitokeza si mngemsakama sanaHuyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda.
Hakusoma alama za nyakati na kufanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama ambavyo hata Mama Abduli hataki kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya busara angali mapema.
Sisi wengine ni watu wadogo sana, tunachofanya ni kushauri tu, ila muda ndio kila kitu.
Mwamba alikula za uso baada ya kujulikana ni kibaraka wa CCMMwamba mwanzilishi wa CHADEMA akiwa kijana Freeman Mbowe yuko sahihi
Kibaraka wa CCM ambaye ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema?Mwamba alikula za uso baada ya kujulikana ni kibaraka wa CCM
mbowe ni mtu wa kufanya maamuzi kwa busara lisu ni mzee wa fujo hawawezi kukubalianaAlishindwa uchaguzi kihalali, na wengi bado wanamheshimu ndani ya chama, ashirikiane na chama sasa sio kukaa kimya
Mbowe hakulala nyumbani usiku wa kuamkia maandamano kwa sababu alijua ndio tactic wanayotumia kila wakati. Walipozingira nyumba yake walikuta hayupo.maandamano feki wakati wenzake waliweka under house arrest siku 2 kabla yeye akaachiwa ili aje kujionesha kuwa ni mwamba?! Fungua macho uone hii michezo ya kisiasa