Ameulizwa akiwa wapi, kuna link ya hayo mahojiano? Share tafadhali.Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Ni kweli halazimiki kuongea lakini angalao kama mjumbe wa Kamati Kuu angewatia moyo viongozi wapya baada ya kupata misukosuko. Na leo basi angeenda mahakamani.Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenu
Yeye binafsi ndie alikuwa mgharimia chama ruzuku ikiwa haitoshi
Awe na kinyongo kwa lipi labda lofa wewe
Mbona hata Sugu hajatokea mahakamani?Huyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda…
Akihitajika hawezi kuacha kjushirikiana. Mbowe ni gentleman haswaAlishindwa uchaguzi kihalali, na wengi bado wanamheshimu ndani ya chama, ashirikiane na chama sasa sio kukaa kimya
Huyo si alikula na bado anakula pesa za Abduli? Mbaya zaidi aliwapotezea muda zaidi ya miaka 20 mpaka Messiah alipowasili.Alishindwa uchaguzi kihalali, na wengi bado wanamheshimu ndani ya chama, ashirikiane na chama sasa sio kukaa kimya
Coin?Nilitegemea Mbowe angetoa tamko kuhusu G55. : “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka..
Mbowe ni Coin-artist 🤧
Aliye mwambia watasema anawashwa washwa nani?View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Jana Boni Yai katuhakikishia kuwa Kamati Kuu iko vizuri. Kule kila ni kupendana kwa kwenda mbele. Sasa misukosuko gani unayoizungumzia?Ni kweli halazimiki kuongea lakini angalao kama mjumbe wa Kamati Kuu angewatia moyo viongozi wapya baada ya kupata misukosuko. Na leo basi angeenda mahakamani.
Sidhani kama CHADEMA wanamtaka afanye chochote.View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
AJE TENA KUKIUZA KWA DOLA? AU MNATAKA MUMTUMIE KAMA KONDOM HALAFU MUANZE TENA KUMTUKANA KAMA MBWA..Alishindwa uchaguzi kihalali, na wengi bado wanamheshimu ndani ya chama, ashirikiane na chama sasa sio kukaa kimya
Bado ni mjumbe wa Kamati Kuu?Huku mnadai ni sell out wa CCM huku ni mjumbe wa Kamati yenu Kuu.Hivi mna akili za kutafakari au akili zenu ni za kuvukia barabara na kusukuma mavi.Ni kweli halazimiki kuongea lakini angalao kama mjumbe wa Kamati Kuu angewatia moyo viongozi wapya baada ya kupata misukosuko. Na leo basi angeenda mahakamani.
Hii kauli ni ya uchungu.Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kweli wewe ni kiazi mbatata MBOWE ndiye mwanzilish8 wa CHADEMA? Halafu ukiitwa mpumbavu unachukia , mnaparamia siasa wakati bado hamjakomaa ndio maana mabumbumbuMwamba mwanzilishi wa CHADEMA akiwa kijana Freeman Mbowe yuko sahihi
Mnahangaika sana na hamjui mshike lipi na muache lipi kwa muda upi!! Mtaka nyingi nasaba hupata mingi misiba!Huyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda.
Hakusoma alama za nyakati na kufanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama ambavyo hata Mama Abduli hataki kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya busara angali mapema.
Sisi wengine ni watu wadogo sana, tunachofanya ni kushauri tu, ila muda ndio kila kitu.
Mbiwe hahangaiki na nyie mlioshinda katulia kimya nyie ndie mnamchokonoa kutwa kuimba humu oooh Mbowe atoe tamko.yeye sio mwenyekiti CHADEMA kama mnataka atoe tamko kama mjumbe wa kamati kuu kamati kuu CHADEMA ina wajumbe zaidi ya 900 kwa nini mumkomalie Mbowe na sio wajumbe wengine watoe tamkoUbinafsi, uchoyo na wizi vinamtesa!!. Alijua wanachadema ni wajinga nyakati zote.... Majibu ya kijinga dhidi ya swali gumu!. Akae kimya kabisa dalali wa covid 19 na G55.
Aliianzisha mwaka gani vile?Mwamba mwanzilishi wa CHADEMA akiwa kijana Freeman Mbowe yuko sahihi
ChagadumaTrump ambaye ni trilionea aliendesha Kampeni zake kwa tone tone. Halafu wakati wa "join the chain" mliosema kuwa anakula zile Hela siyo nyie?
Mara mseme CHADEMA ni chagadema, mara ni saccos yake, Leo mnamsifia kuliko hata watoto zake!