SahihiMnamchokonoa sana, mnstaka aongee mpate pa kuanzia.
Chadema inauongozi yete aongee nini?
Mjumbe wa kamati kuu siyo pake yake kwanini msitake wajumbe wengine waongee, wao hawaoni hao wanaohama?
Mbowe hajaanzisha Chadema bwashee 😁Mwamba mwanzilishi wa CHADEMA akiwa kijana Freeman Mbowe yuko sahihi
Uko sahihiYaani kuna kitu mnamdai Mbowe?Kawaachia Chama baada ya Uchaguzi bado mpo obsessed. Ni inferiority complex ya hali ya juu.
na huo ndio ustaarabu kwa asie kiongoziView attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Chawa wa watekaji na wauaji leo mnamtetea Mbowe, kweli chawa hana bwana mmoja na haaminikiUko sahihi
Wajinga sana hawa.Mbowe wanamdai?
Mwenyekiti wa kwanza wa vijana CHADEMA ilipoanzishwa wa vijana CHADEMA alikuwa MboweMbowe hajaanzisha Chadema bwashee 😁
Kwa hiyo wewe usiye chawa bali kunguni una bwana mmoja?Thanks for the information.Chawa wa watekaji na wauaji leo mnamtetea Mbowe, kweli chawa hana bwana mmoja na haaminiki
Kinyongo cha nini ana pesa ,biashara zake ndani ya nchi na nje haishi kwa tonetone kama nyie na lisu wenu
Yeye binafsi ndie alikuwa mgharimia chama ruzuku ikiwa haitoshi
Awe na kinyongo kwa lipi labda lofa wewe
Sawa tu katiba imetoa uhuru wa kuabudu kwani kavunja katiba ya nchi?MBOWE ana mpango wa kufungua kanisa
Mnajulikana nyie ndio maana mnatumika kama toilet paper, kula yenu inategemea kujipendekeza na kusifia, culture ya kifala sanaKwa hiyo wewe usiye chawa bali kunguni una bwana mmoja?Thanks for the information.
Wapi kasema hivyo? Weka ushahidiHaamini kama alishindwa uchaguzi
Na hayo uliyosema ndio yanamshangaza why wanachadema hawakumchagua
Hapana, MBOWE ni mfanyabiashara sawa kabisa na KING MIDAS, kila anachogusa kinageuka kuwa dhahabuSawa tu katiba imetoa uhuru wa kuabudu kwani kavunja katiba ya nchi?
Bora tu akaye kimya, mtu ambaye hata kufika mahakamani kashindwa, huku hata wakenya ambao hawqguswa na ujambazi wa Samia bado wameona umhimu wa kuja mahakamani. Halafu mwenyekitu wa chama mstaff unakosaje kufika mahakamani? Matendo yanaongea kwa sauti kubwa kuliko maneno.View attachment 3339031
Mwenyekiti wa zamani wa Chadema, Freeman Mbowe ameeleza sababu ya kukaa kimya tangu wakati wa uchaguzi mkuu wa chama hicho, Januari 22, 2025, akisema wanaotakiwa kusema kwa sasa ni viongozi waliokabidhiwa mamlaka na chama.
Katika uchaguzi huo, Tundu Lissu alishinda nafasi ya uenyekiti kwa kupata asilimia 51.5 dhidi ya Mbowe (asilimia 48.3), huku John Heche akishinda nafasi ya makamu mwenyekiti dhidi ya Ezekia Wenje.
Soma pia: Ukimya wa Mbowe
Tangu wakati huo, Mbowe aliyetangaza kuwa atajikita kwenye biashara zake, amekuwa kimya, licha ya misukosuko iliyoibuka ikiwamo ya kuibuka kundi la G55 lenye makada wengi waliomuunga mkono, ambao sasa baadhgi yao wametangaza kukihama chama hicho.
Soma pia: Wataka Mbowe ajitokeze
Alipoulizwa na JamiiForums leo Mei 19, sababu ya kuwa kimya, Mbowe alijibu kwa njia ya WhastApp: “Niseme nini my brother!? Wasemao ni wenye mamlaka.... wasije wakadai "tunawashwawashwa.”
Kauli ya Mbowe imekuja siku moja baada ya Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Boniface Jacob maarufu Boniyai, kutangaza kwamba hakihami chama hicho na kuwaonya baadhi ya makada wa chama hicho wanaohama wakitumia jina la Mbowe.
Akaeee kimyaa asiongezeee saratani ya Siasa kwenye hii nchiiView attachment 3339031

Adui yako akikusifu angalia na tafuta ulikokosea.Leo mnamtetea Mbowe?
Mahakamani alikuwepo,tafuta jungine.Huyu ana kinyongo ndio maana hata mahakamani anashindwa kwenda.
Hakusoma alama za nyakati na kufanya uamuzi sahihi kwa wakati sahihi kama ambavyo hata Mama Abduli hataki kusoma alama za nyakati na kufanya maamuzi ya busara angali mapema.
Sisi wengine ni watu wadogo sana, tunachofanya ni kushauri tu, ila muda ndio kila kitu.