PreGE2025 Freeman Mbowe: Niseme nini? Tukiongea watasema tunawashwawashwa, wasemao ni wenye mamlaka!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
mbona yeye wakati amekamatwa wenzake walipaza sauti bila ya kujali kuwa ni viongozi ama si viongozi .Leo hii yamewafika wenzake ,anadai kuwa hawezi kusema kitu kwakuwa sio kiongozi.
Hapo ndo utaelewa maana ya neno ''asomaye na afahamu''
maneno haya yapo kwenye maandikao matakatifu yaitwayo biblia.
 
Aliitisha maandamano na wenzake wakamziria akajikuta yupo na mwanae tu...Sasa nae kanyamaza mwachenii. Amewaachia demokrasia
 
mbona yeye wakati amekamatwa wenzake walipaza sauti bila ya kujali kuwa ni viongozi ama si viongozi .Leo hii yamewafika wenzake ,anadai kuwa hawezi kusema kitu kwakuwa sio kiongozi.
Kwenye Yale maandamano walikuwa wapi mpaka akajitokexa mwenyewe na binti?? SI walisusa? Mbona hakulalama?? Mnataka aongee mumwite Nkurunzinza?
 
Kwenye Yale maandamano walikuwa wapi mpaka akajitokexa mwenyewe na binti?? SI walisusa? Mbona hakulalama?? Mnataka aongee mumwite Nkurunzinza?
maandamano feki wakati wenzake waliweka under house arrest siku 2 kabla yeye akaachiwa ili aje kujionesha kuwa ni mwamba?! Fungua macho uone hii michezo ya kisiasa
 
Sasa angejitokeza si mngemsakama sana
 
Mtoa mada amefanikiwa katika research yake aliyokuwa anachunguza ni kiasi gani nyumbu wa chadema chakavu hawana akili. Ametosea tu maneno bila ushahidi (wa angalau clip) tayari imeshakurupuka na kumvamia na kumtukana mbowe. Hivi kauliza na kujibu lini hayo maswali?!!!! Acheni ungese basi nyumbu wa lissu......mbowe akiamua hakuna kati yenu wa kushindana nae malofa nyie!!
 
Mwamba alikula za uso baada ya kujulikana ni kibaraka wa CCM
Kibaraka wa CCM ambaye ni mjumbe wa kudumu wa Kamati Kuu ya Chadema?
Inafikirisha. Sijui nani nyumbu hapo.
 
Sikuwahi kufahamu kama hili lijimbowe lilikuwa kiongozi la hovyo kiasi hiki!!!
 
maandamano feki wakati wenzake waliweka under house arrest siku 2 kabla yeye akaachiwa ili aje kujionesha kuwa ni mwamba?! Fungua macho uone hii michezo ya kisiasa
Mbowe hakulala nyumbani usiku wa kuamkia maandamano kwa sababu alijua ndio tactic wanayotumia kila wakati. Walipozingira nyumba yake walikuta hayupo.
Lissu akijua thika kuwa nyumba yake itazingirwa alilala nyumbani.
Mnyika akakimbilia kwa masista.
Lema akaja kwa ndege.
Heche hata haijulikani alikuwa wapi.
Wakina Hilda wakajikalia mbali na eneo la kukusanyika.
Mbowe akajitokeza pamoja na binti yake ambae wapambe walidai aje na watoto wake kwanza badala ya kuwachuuza watoto wa walala hoi.
Hapo nani alikuwa msanii?

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…