Pre GE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe ni akili kubwa isiyo ya kukurupuka, siasa sio uadui, siasa sio, pingapinga, siasa sio negativitness, siasa safi ni akili kubwa, ccm ni dubwana kubwa, akili ni kucheza nalo kwa timing, ukiwa na pupa tu, jua umeshashindwa mapema, timing matter!
 
Sasa akiwatangazia maandamano mnasusa mnataka Nini Sasa? Nyie wenyewe mko mguu ndani mguu nje ni Bora ashughurike na issue zake tu mana kuwatatea watanzania ni sawa na kunyinyinga mwenyewe. Mijitu haijielewi kabisa. Mnataka wengine wanitoe kafala wakati nyie waoga kutetea maslahi yenu. Angalia alienda jela kwa kusingiziwa eti ni gaidi ni nani mtanzania alienda barabarani kuandamana. Lisu alishindiliwa lisasi 32 na jpm ni nani alisimama nayewalau kupinga zaidi ya familia yake kuteseka na tena mkamkejeli eti ameenda ubeligiji kiolewa na mabwana zake. Kila mtu ashuke hamsini zake ebo!
 
Uhuru wa kujieleza umepitiliza mipaka yake.
 
CDM & CCM hawajawahi kujitenga. Wako pamoja kama samaki na maji
 
JIWE kaondoka alishindwa kumbadilisha misimamo yake pamoja na hujuma lukuki, itakuwa wewe kijana. Yule ni zaidi ya Kamati kuu ya CCM, lile ni Jeshi aka JABARI la Siasa za Bongo na Africa.
Umemaliza kazi
 

Kwanza naandika kama Mtanzania independent ambaye sina chama, na kwa kweli nina sympathy na upinzani zaidi.

Kwa hiyo, siandiki kama chawa wa CCM.

Kwa maneno mengine, ningefurahi sana Mbowe angekuwa anafanya vizuri.

Mbowe ana ji contradict sana. Kama Mwenyekiti wa CHADEMA alitakiwa kuelewa kanuni za msingi za Separation of Church and State.

Kwa kumualika Samia na kukubali mchango wa shilingi milioni 150 kwenye shughuli ya kanisa lake kwao, inakuwa kama kakubali kuhongwa na Samia.

Mimi sikuwa na tatizo Mbowe kushiriki maongezi ya maridhiano, angeweza kusema yeye ni kiongozi moderate aliyekuwa anatafuta maridhiano tu. Ingawa hata hayo yalikuwa yanakwenda kwenye dead end, tulijua tu. Lakini, mara nyingine kiongozi wa upinzani anahitaji kuchukua njia inayompeleka kwenye dead end ili kutuonesha kuwa alikuwa na nia ya maridhiano, lakini upande wa pili umekwamisha hapa na hapa. Ndiyo maana hata mahakamani upinzani huwa unafungua kesi ambazo tunajua utashindwa, lakini wanataka kuweka rekodi kwamba tulifungua kesi hivi, mahakama ikatuonea hivi.

Kwa hiyo, hata kwenye maridhiano alikopingwa na watu wengi, mimi niliona kuwa Mbowe bado ana nafasi ya ku make sense.

Lakini huku kwenye kumualika Samia atoe shilingi milioni 150, Mbowe kajitia doa sana. Yani hata kiongozi wa CCM kumualika Samia na Samia kuchangia shilingi milioni 150 kwenye kanisa la huyo kiongozi ni tatizo. Anavunja kanuni za Separation of Church and State.

Nyerere katawala miaka 24. Alikuwa anakwenda kanisani kila siku akiwa Dar. St. Peters asubuhi kabisa utamkuta pale. Lakini hakufanya mchezo huu wa kuchangia kanisa pesa. Si kwa style na kiasi hiki.

Mbowe kama Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, anatakiwa kujua kuwa, demokrasia ni pamoja na separationnof church and state.

This is such a big disappointment.

Kama huyu kiongozi mkubwa hivi CHADEMA anaweza kufanya strategic mistake kubwa hivi hadharani, huko nyuma ya pazia anaboronga vipi?

In law, there is a principle. Justice must not only be done. It must appear to be done. Democracy as part of the rule of law falls under the same principle. It must not only be fulfilled, it must appear to be fulfilled.

Appearances matter. Right now, it appears as if Mr. Mbowe has been bought. Very cheaply indeed.

Kwa uongozi huu bado CHADEMA inategemea kuishinda CCM?

Au hawa viongozi wa CHADEMA wanajua kabisa CCM hawawezi kuishinda, wameamua kugawana mazuri ya nchi tu huku wakiwapiga wananchi magirini tu?
 
Kumbe kanisa la KKKT ni mali ya Mbowe, nilikuwa silijui hilo, pia Chadema haijaanza leo kutumia chopa, kuhamasishana kushiriki jambo fulani haina maana kuwa wewe ndiye mwenye shughuri na Mbowe hana madaraka yoyote ndani ya KKKT.
Mwambie huyo Mwana Izaya
 
Siyo mchawi tu bali ni adui wa taifa
 
Sukuma gang kazini, hata kuandika unashindwa kisa mh Mbowe
 
Mbowe ni akili kubwa isiyo ya kukurupuka, siasa sio uadui, siasa sio, pingapinga, siasa sio negativitness, siasa safi ni akili kubwa, ccm ni dubwana kubwa, akili ni kucheza nalo kwa timing, ukiwa na pupa tu, jua umeshashindwa mapema, timing matter!
Angalau leo umetumia akili alizokupa Mungu
 
kuna watu wao kinachowafurahisha ni kuona Mbowe (kaka) akiharibiwa biashara zake, mashamba yake yakiharibiwa kama alivyofanya yule dikteta uchwara. shame on u!!!!



BWANA YESU NDIYE BWANA NA MWOKOZI
Amina
 
kuna watu wao kinachowafurahisha ni kuona Mbowe (kaka) akiharibiwa biashara zake, mashamba yake yakiharibiwa kama alivyofanya yule dikteta uchwara. shame on u!!!!



BWANA YESU NDIYE BWANA NA MWOKOZI
Yesu ndiye mtetezi wa wanyonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…