Pre GE2025 Freeman Mbowe nyamaza au Ingia CCM 100% maana wewe ni mtoa taarifa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwa sasa ni kama Mbowe anafaa zaidi kuwa mzee wa kanisa kuliko kiongozi wa upinzani.
 
Kwa sasa ni kama Mbowe anafaa zaidi kuwa mzee wa kanisa kuliko kiongozi wa upinzani.
Naam,

Alikuwa na uchaguzi wa kuchagua kipi ni kipaumbele kwake, uongozi wa kanisa au uongozi wa upinzani?

Alifika njia panda iliyomtaka asiweze kuchukua njia zote mbili, akiamua kuwa kiongozi wa kanisa, ajiondolee mambo fulani kwenye uongozi wa upinzani.

Akaamua kuchukua njia ya uongozi wa kanisa.

Akaionesha dunia nzima kuwa, ama hajitambui, ama hayuko serious kwenye uongozi wa upinzani.

Yote majanga.
 
Sukuma gang kazini, hata kuandika unashindwa kisa mh Mbowe
Kwani Mbowe anakitu kipi kipya ambacho amekifanya tangia Hawe mwenyekiti?Sana Sana kujichotea fedha za rudhuku na kujinufaisha Yeye na family yake,tokea awe mwenyekiti hata ofisi ya hadhi kujenga imemshida,hapo hapo wanajinasibu kuwa ni chama cha Democrasia na maendeleo,kadanganye wajingawajinga wenziwe ambao wanamwona Mbowe ni Mungu Mtu hastahili kusemwa.
 
Mwenyekiti wa chama cha siasa kaacha kujenga ofisi ya chama ya hadhi kitaifa, kaenda kujenga kanisa lake kwao.

Mpaka hapo hata kama hujui kusoma, hiyo picha tu unatakiwa kuielewa.
 
Kumekucha kumekuchaa
 
Nilipofika hapo kwa "Mr. Alima Mdee", nikajua hapa hakuna timamu.
 
Ni sahihi kabisa Mbowe ana busara na ndiyo maana kanisa wakamuamini na kumpa jukumu la kutafuta michango ya fedha kwa ajili ya ujenzi wa kanisa. Akiwa mwenyekiti wa kamati ya kutafuta fedha hakujali wa hakubagua wachangiaji. Hata wale aliotuaminisha ni maadui kisiasa ila wana fedha yeye kawachukua fedha. Zile fedha ni za kanisa siyo Chadema.
Asante Samia, covid 19 etc.
Maendeleo hayana vyama.
 
Wewe nimjinga mmno shida hujajijua tu, Pole!! Ninyi ndomnafanya Tz ionekane imejaa zumbukuku maana mnakiherehere nahamjui kitu
 
haonewe ndiyo nini?Tatizo linaanzia hapo.
 
Huwa wacheka sana nikimuona mtu anasema mbowe ni kiongozi wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi unakubali vipi kuongozwa na mtu mpumbavu na mpuuzi kama Dj mbowe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] ngoja tu ninyamaze .
 
Huwa wacheka sana nikimuona mtu anasema mbowe ni kiongozi wao [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hivi unakubali vipi kuongozwa na mtu mpumbavu na mpuuzi kama Dj mbowe[emoji53][emoji53][emoji53][emoji53] ngoja tu ninyamaze .
Hata Nyerere alikuwa mpumbavu kutumia familia ya akina Mbowe kupambania uhuru wa Tanganyika?
 
Mbowe ni akili kubwa isiyo ya kukurupuka, siasa sio uadui, siasa sio, pingapinga, siasa sio negativitness, siasa safi ni akili kubwa, ccm ni dubwana kubwa, akili ni kucheza nalo kwa timing, ukiwa na pupa tu, jua umeshashindwa mapema, timing matter!
Mbowe ni akili kubwa = Samia anaupiga mwingi.
 
Hata Nyerere alikuwa mpumbavu kutumia familia ya akina Mbowe kupambania uhuru wa Tanganyika?
Nyerere aliongozwa na kina mbowe ? Tumia akili ....mtu mwenye akili kuongoza wapumbavu ni sawa ila mpumbavu kuongoza mwenye akili ndiyo tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…