pilipili kichaa
JF-Expert Member
- Sep 3, 2013
- 18,406
- 14,643
Afande Selle; ni vyema ukawa na tabia ya kujikita ktk kusoma hoja kwanza badala ya kukurupuka. Anyway, naona ni ile mibange yako na ile albadirr uliyosomewa.Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Sitaki kuamini kama Chadema wote hawana akili mwenye akili ni Mbowe tu lakini kumbukeni Mbowe ni Binadamu kuna siku atakuwa hayupo leo JPM hayupo lakini CCM ipo na inapata mwenyekiti mwingine kwa amani kabisa kila mtu akitabasamu kwa maana utaratibu ulishatengenezwa siku Mbowe akiondoka tutashuhudia ugomvi na kugombea madaraka ndani ya Chadema .
Hapo ni wewe wa kutakiwa kutumia akili vizuri. Hawezi kumkana Magufuli akiwa ndio aliyemfikisha hapo alipo.Sasa Mkuu ikiwa Mama anasema anafuata nyayo za Magufuli aliyekimbiza wawekezaji lakini wakati huohuo anataka kurudisha imani ya wawekezaje wewe unaelewa nini ?
Ivi CHADEMA wanafanyaga uchaguzi wa mwenyekiti kweli?
Nadhani bado hajamuelewa mama. Mama hawezi kuwa against kabisa na kila kitu. Hiyo system mbovu ndiyo ilyomuweka madarakani. Hebu tu,pe muda tuone atatupeleka wapi. Mi naona kuna tofauti kubwa.
Siku hizi umekuwa mganga wa Kienyeji? Naona unaendelea kuagua.Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani
Sitaki kuamini kama Chadema wote hawana akili mwenye akili ni Mbowe tu lakini kumbukeni Mbowe ni Binadamu kuna siku atakuwa hayupo leo JPM hayupo lakini CCM ipo na inapata mwenyekiti mwingine kwa amani kabisa kila mtu akitabasamu kwa maana utaratibu ulishatengenezwa siku Mbowe akiondoka tutashuhudia ugomvi na kugombea madaraka ndani ya Chadema .
Ndo maana ya kutubu. Lazima iwe hadharani tena bila kupepesa machokwaiyo nyie mbumbumbu mlitaka aseme hadharani kwamba haungi mkono aliyokua akiyafanya magufuli?
SSH yupo njia panda. Anatamani kukidhi kiu ya watanzania lakini kivuli cha CCM na cha Mwendazake vinamkwamisha mama na nia yake nzuri. Kama hivi wameanza kusema mtu wao aliuawa.Kiukweli nimemsikiliza mwanzo mwisho lakini sijaelewa anachosimamia
Wasipo kuelewa hapo basi ni sikiolakufa.mauaji ya nini labda!!
kuna vishandu wanauwawa kila siku,magaidi wataendelea kuuwawa pia.
hata wanaohatarisha usalama watauwawa pia,kazi kwenu kuchambua.
Basi nyumbu mnayofautiana mitazamo maana wenzako wengine wanasema moja ya vigezo vya udicteta ni kung'ang'ania madaraka.Unaishi kwa kujivunia ujinga. Jielimishe, angalao ujie hata ileaana tu ya neno dikteta.
Kwa uelewa wako, Angel kule Ujerumani, ni dikteta? Tony Yam, kule Singapore ni dikteta?
juzi tu hapa katoka kuongea upuuzi gani?
πππ acha dharau boya wewe.kwenye hiyo tweet ya kimombo - hapo Lumumba jamaa wananyan'ganyana dictionary ...teh teh teh
Ni nani yule aliyewaambia wapiga kura kuwa hata wasipoichagua ccm bado itatangazwa kuwa imeshinda?!Hiyo kauli inawafariji maccm
Rais samia hawezi kuwa na tabia za kibedhuli kama yule JiZi la kura
Kwa viwango tulivyoviona miaka 5 tuliyopita, Mwendazake ameburuza kila mtu Tanzania labda alimshindwa CDF Mabeyo tu. Maana Bunge, Mahakama, Magereza, Tume ya Uchaguzi, CCM yenyewe, viongozi wastaafu nk. Wote hawa Mwendazake aliwadharau na kuwaburuza atakavyo.Hawa wanasiasa wawili wanaokuwa na tabia ya kujinasibu kuwa wao mabingwa wa uzandiki wa siasa za hapa Tanzania mbona wako Kimya?
Au ndio wanaunga juhudi kimyakimya maana tumeshuhudia miaka mitano chini ya hayati JPM wakiburuzwa na kugarazwa kama kambale kwenye matope.
Mbowe na chadema ni kama kanisa la mama lwakatare,kafa na kanisa limekufa.Huyu Dj anajua kuwa na yeye ni dikteta au kwa vile Chadema hawamwambii ukweli? sifa moja ya madictator kung'ang'ania madarakani