allesandro 2021
Senior Member
- Feb 10, 2021
- 142
- 156
Alisema ataendeleza na kuyaenzi mazuri. Ataleta na mapya. Atarekebisha pale patakapohitaji kurekebisha. Magufuli hakufanya mazuri tu,na pia hakufanya mabaya tu.
Binadamu yoyote ana mabaya na mazuri. Mama anaonesha yeye ni sehemu ya yale mazuri,na ndio maana tunaona hatua anazofanya kurekebisha yale yasiyofaa. Hivyo ndivyo nilivyomwelewa mama.
Binadamu yoyote ana mabaya na mazuri. Mama anaonesha yeye ni sehemu ya yale mazuri,na ndio maana tunaona hatua anazofanya kurekebisha yale yasiyofaa. Hivyo ndivyo nilivyomwelewa mama.
Sasa pamoja na unyama ule uliotendwa kulikuwa na haja gani ya mama kujitangaza kwamba yeye ni sehemu ya unyama ule , hawa watu walipofikia kwenye nchi hii haiwezekani tena kuwabembeleza , tuzungumze bila kumung'unya maneno