Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Kama hauja "itaka" ungepita kimya tu! Hata, kwenye kuaga maiti, sio wote wanaopita mbele ya jeneza, wanaliangalia, wanapita huku wanaangalia pembeni!Eti hii nayo ni mada!
Mbowe kayasema wapi na lini, alikuwa akiongea na Nani...Kama hauja "itaka" ungepita kimya tu! Hata, kwenye kuaga maiti, sio wote wanaopita mbele ya jeneza, wanaliangalia, wanapita huku wanaangalia pembeni!
Haitwi mbowe bali anaitwa mseven wa machameMbowe ameiharibu kazi aliyoifanya kwa miaka 20+ yeye mwenyewe kwa mikono yake. Kama kweli ni mkongwe ameshindwaje kuyajua mahitaji ya wanachama na wafuasi wa Chadema kuwa wanataka mabadiliko? Mbona kila mwenye mapenzi na Chadema anaona kuwa Mbowe ame overstay kwenye uenyekiti?
Wengine wanamuita Sultan, wengine wanamuita Nkurunzinza aibu gani hii !!Haitwi mbowe bali anaitwa mseven wa machame
Tunakoelekea ataitwa MugabeWengine wanamuita Sultan, wengine wanamuita Nkurunzinza aibu gani hii !!
Tatizo ni huna akili kichwani mwako za kuelewa hata mambo madogo madogo.Tatzo ni nini...?
Nimeuliza basi nijuze mjuzi na sio kunitukana. Nikianza kukutukana unanireport kwa moderatorTatizo ni huna akili kichwani mwako za kuelewa hata mambo madogo madogo.
Mwenye busara husikiliza na kuuliza na kujifunza sasa npumbavu unabwatuka bwatuuuu kama upepo.Tatizo ni huna akili kichwani mwako za kuelewa hata mambo madogo madogo.