Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
Nenda MirembeNimeuliza basi nijuze mjuzi na sio kunitukana. Nikianza kukutukana unanireport kwa moderator
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda MirembeNimeuliza basi nijuze mjuzi na sio kunitukana. Nikianza kukutukana unanireport kwa moderator
ni ishara kuwa hatakiwi, hata wajumbe mwendo ni huohuo tu japo haijulikani matokeo yatakuajeWengine wanamuita Sultan, wengine wanamuita Nkurunzinza aibu gani hii !!
Na siyo kila anayepita kuaga maiti lazima alie, wengine (wengi) huwa wanapita kimya kimya tu, na yeye angepotezea tu 😆Kama hauja "itaka" ungepita kimya tu! Hata, kwenye kuaga maiti, sio wote wanaopita mbele ya jeneza, wanaliangalia, wanapita huku wanaangalia pembeni!
Usimlaumu Mbowe kwa kufanya kazi anayotumwa kufanya. Hiyo ni kawaida kwa watu wote wa kitengo chetu cha siri. Kazi yao kubwa ni kujenga na kubomoa kwa faida ya nchi.Mbowe ameiharibu kazi aliyoifanya kwa miaka 20+ yeye mwenyewe kwa mikono yake. Kama kweli ni mkongwe ameshindwaje kuyajua mahitaji ya wanachama na wafuasi wa Chadema kuwa wanataka mabadiliko? Mbona kila mwenye mapenzi na Chadema anaona kuwa Mbowe ame overstay kwenye uenyekiti?
CHawa katika ubora wako. Mwaka huu upate hata uday worker kwa zile chuma za chama la sivyo utakufa huku kwa stress na kujipendekeza.Nenda Mirembe
Wewe ni taahira kabisaTatizo ni huna akili kichwani mwako za kuelewa hata mambo madogo madogo.
Yote haya ni Lissu kugombea nafasi ya Mwenyekiti ,halafu kinaitwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,What a contradiction !!Mwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema YEYE ndio alimuingiza Tundu Antipas Lisu na kumjenga
Mbowe amesema YEYE ni Mtu wa kuibua vipaji na hilo ni jukumu amelifanya kwa uaminifu mkubwa
Source Crown media
So what? ## mbowe must goMwenyekiti wa chadema Mh Freeman Mbowe anesema YEYE ndio alimuingiza Tundu Antipas Lisu na kumjenga
Mbowe amesema YEYE ni Mtu wa kuibua vipaji na hilo ni jukumu amelifanya kwa uaminifu mkubwa
Source Crown media
Nakumbuka Mbowe alivyowachukua akina Zitto, Silinde na Halima Mlimani 😂😂😂Yote haya ni Lissu kugombea nafasi ya Mwenyekiti ,halafu kinaitwa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo,What a contradiction !!
Kwamba pesa hazijafanya kazi?Aliyelipwa - akaajiri watu - kumlinda Mzee, hajafaulu.
Terajieni 'vijana wake' kuingia mzigoni leo/kesho.
Mzee sees damage - thinks 'vijana' hawamsaidii.
Yes, sio rahisi kumnadi Mzee.
Tumefikaje hapa? Pesa & tamaa imeua movement.
Muhimu ni kuanza upya. Tuko tayari. Aluta!
Ameandika wakili @TitoMagoti katika Ukurasa wake wa X (Formerly Twitter)
Hahahahah pengine unatimia msemo wa "Pesa haiwezi kutatua Kila kitu"Kwamba pesa hazijafanya kazi?
Einstein umeniacha kabisaa,au ndio mambo ya vumbuzi mupya mupya?Aliyelipwa - akaajiri watu - kumlinda Mzee, hajafaulu.
Terajieni 'vijana wake' kuingia mzigoni leo/kesho.
Mzee sees damage - thinks 'vijana' hawamsaidii.
Yes, sio rahisi kumnadi Mzee.
Tumefikaje hapa? Pesa & tamaa imeua movement.
Muhimu ni kuanza upya. Tuko tayari. Aluta!
Ameandika wakili @TitoMagoti katika Ukurasa wake wa X (Formerly Twitter)
Wakati ni ukuta! Pengine wengine hatuelewi maana ya busara ... Turudi shule 😃Badiliko 😤📌
Kwanini ung'ang'anie?