Pre GE2025 Freeman Mbowe: Shutma za Lissu dhidi yangu ni za uongo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
M7 hahitajiki kwa sasa, amekuwa corupt, wanashindwa kumtaja kwa sababu ya kumtumzia heshima.ila ukweli coruption imemwalibia, ameingia kwenye mtego wa Abdul baada ya kufanikiwa kuruka mitego hiyo kwa miaka mingi
 
M7 hahitajiki kwa sasa, amekuwa corupt, wanashindwa kumtaja kwa sababu ya kumtumzia heshima.ila ukweli coruption imemwalibia, ameingia kwenye mtego wa Abdul baada ya kufanikiwa kuruka mitego hiyo kwa miaka mingi
Sidhani kama Kuna mtego aliruka, huyu mangi amekuwa akijinufaisha kupitia siasa za chadema Kwa muda mrefu
 
TAL anaenda kufutwa uananchama na atakuwa hana qualification za kugombea tena.
Na chama kitajifia wakifanya hiyo mistake. Bora Bowe akachukue ujuzi kutoka CCM wa michezo ya kwenye sanduku la kula
 
Haya maneno huandika wapinzani dhidi ya CCM. Ukija uchaguzi 98% ccm wameshinda. Ni sawa kwa Lissu kwa Mbowe
 
usultani
mgabe
kagame
umalikia elizabeth hadi kifo.

Mwisho mbowe ni mjinga sana
Halafu michawa yake humu inakuja kupost ujinga ujinga, inakera kishenzi, uchaguzi S/MITAA tulijitoa sana kwa gharama zetu kupambania chama.

Kumbe kuna michawa imekaa kisengeremaa hata haijui yanayofanya.

Mijitu hii ni mijingamijinga ngoja tuone kukitokea usengeremaaa naachana na siasa kabisa 😏😏😏
 
Baada slaah kusalitiwa na m,bowe nikaachana na siasa mkuu. Niliona wazi mbowe ananunulika kirahisi.Nakumbuka slaa alikuja kwenye kampen tulikimbia kama 15 tukihamsisha vijana wenzetu na nina amini slaa alimshinda jk kwa gape kubwa sana. Halafu anakuja lowasa yule tuliyemuimba siku zote kuwa ni fisadi NO1 nikasema hapana nitakonekana mjinga sana. muda huo nilikuwa nitoka ccm na kupewa vi cheo vya ovyo ovyo kule
 
Mkuu ngoja tuone hiyo tarehe 21 kama kuna figisu za kijinga naachana na siasa kabisa aisee.
 
Mbowe bora hata angemwomba Lucas Mwashambwa amsaidie kuliko kuchukua zezeta kama Yericko. Nilimshauri sana amfukuze Lissu uanachama akadharau.... Mbowe atapata laana ya baba mkwe wake kwa kushindwa kulinda mali ya urithi hadi watu baki wanataka kumpora.
 
Ndiyo shida ya kukaa muda mrefu madarakani hadi unadhani wengine hawastahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…