Pre GE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.

Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani

Kwamba mtu/watu wanakuja nyumbani kwako na kuweka maturabai then wanaweka maspika na kuunganisha kwenye umeme kutoka kwenye nyumba yako nawe hufahamu/hajashirikishwa.

Mbowe namkubali ila asitake kuleta stori za KiCCM zile za ATAKE ASITAKE TUTAMLAZIMISHA..
 
Nimecheka kweli..haya.. ngoja tusubiri tuone.
 
Wakuu,

Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.

Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani

View attachment 3179599
Acha sanaa mzee, Watanzania sio wajinga tena.
 
Mambo yanavyofanyika Chadema ni bora hata CCM aiseee......😀😀hakujua kuna mziki wala viti nje.......watanzania tujifunze jambo moja hapa,mwanasiasa ni mwanasiasa tu awe popote anapambana kulinda maslahi yake tu
 
Wakuu,

Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.

Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani

View attachment 3179599
Mbowe ndio mtu pekee kwasasa anayefaa kuwa mwenyekiti wa CDM, tunakuhitaji mzee sasa kuliko jana!
 
Back
Top Bottom