CHAPALAKATA
Member
- Sep 9, 2024
- 78
- 120
Huyu dictator mbowe ameamua kukiua chadema mwanamke mpumbavu huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu sasa ni Diamond wetu katika siasa🤣Hii nchi kila mtu ni msanii.
Zee la hovyo yani limenitoka vibaya mno. Bora Lissu ametuonyesha namna ambavyo Mbowe na machawa wake walivyo.Tena uzushi mkubwa, kuanzia leo simwamini
Nchi ya maigizo hiiWakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
View attachment 3179599
Likigombea tena na najua litashinda kwa ghilimba, kamwe kushabikia siasa hata upinzani ni mwisho.Zee la hovyo yani limenitoka vibaya mno. Bora Lissu ametuonyesha namna ambavyo Mbowe na machawa wake walivyo.
Kwamba mtu/watu wanakuja nyumbani kwako na kuweka maturabai then wanaweka maspika na kuunganisha kwenye umeme kutoka kwenye nyumba yako nawe hufahamu/hajashirikishwa.
Mbowe namkubali ila asitake kuleta stori za KiCCM zile za ATAKE ASITAKE TUTAMLAZIMISHA..
kwanini mbowe hv hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza chama?Mbowe ndio mtu pekee kwasasa anayefaa kuwa mwenyekiti wa CDM, tunakuhitaji mzee sasa kuliko jana!
Anajifanya sio yeye anaetaka....Analazimishwa...kwahiyo anachukua fomu?
Watanzania sio wajinga kama anavodhani.Wakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
View attachment 3179599
Kwanini CCM tangu 1961 hakuna vyama vingine vinavyofaa kuongoza?kwanini mbowe hv hakuna watu wengine wenye uwezo wa kuongoza chama?