ccmAnamdanganya nani?
Nimecheka kweli..haya.. ngoja tusubiri tuone.Kwamba mtu/watu wanakuja nyumbani kwako na kuweka maturabai then wanaweka maspika na kuunganisha kwenye umeme kutoka kwenye nyumba yako nawe hufahamu/hajashirikishwa.
Mbowe namkubali ila asitake kuleta stori za KiCCM zile za ATAKE ASITAKE TUTAMLAZIMISHA..
Acha sanaa mzee, Watanzania sio wajinga tena.Wakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
View attachment 3179599
Tena uzushi mkubwa, kuanzia leo simwaminiAnamdanganya nani?
Mbowe ndio mtu pekee kwasasa anayefaa kuwa mwenyekiti wa CDM, tunakuhitaji mzee sasa kuliko jana!Wakuu,
Naona kuna nyuzi humu zilikuwa zinasema kuwa Mbowe ndio amepanga hili tukio la wanachama kumlazimisha kugombea Uenyekiti, leo Mbowe ameamua kuwajibu.
Mbowe amesema kuwa hayo maturubai na viti mnavyoviona ni wanachama wake ndio wameandaa na kwamba yeye aliambiwa akae ndani
View attachment 3179599
Hela ya mama AbduliWakuu,