Pre GE2025 Freeman Mbowe: Tangu jana nimehifadhiwa ndani kama mwali. Wanaodhani mimi nimepanga mkusanyiko huu sio kweli

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nchi ya maigizo hii
 
Zee la hovyo yani limenitoka vibaya mno. Bora Lissu ametuonyesha namna ambavyo Mbowe na machawa wake walivyo.
Likigombea tena na najua litashinda kwa ghilimba, kamwe kushabikia siasa hata upinzani ni mwisho.
Hata hapa jf nita ignore jukwa la siasa
 
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    6.4 KB · Views: 2
Watanzania sio wajinga kama anavodhani.
 
"..... Hivi vituko uswahilini!,
Uswahilini kuna vituko......"
By Inspector Haroon ft Suma G.

Ni hayo tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…