Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Mbowe ni muongo.

Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
Kwa wazo hili, ELIMU YETU INASHIDA!!!
 
Meko alikua shetani ibilisi kabisa sio binadamu wa kawaida kabisa yule.
Mashetanu ni ninyi wakwepa kulipa kodi😂🤣😂, kwa kweli mliishi kishetani motoni! Duuuuh, Magufuli baba lao, alipita mlemle kwenye maneno yake! Rip &power shujaa JPM, we salute you Hon! We shall forever miss your statesmanship!
 
Hakwenda kuanzisha biashara Dubai. Mbowe nnayemfahamu mimi ana biashara Dubai kitambo(2008) nishawahi kufanya biashara na kampuni mojawapo yake
Panua ubongo,kama alikuwa na biashara A na B huko Dubai lakini baada ya figisu za Pombe akaamua kwenda kuanzisha biashara C ulitaka asemeje
 
Lol ya kweli haya Mzee?
Hebu tusiongeze chumvi Mungu asije akatutenga.
Ni kweli Mkuu?
 
Asante Mungu kwa kutuondolea Lile Jiwe.

Yule mtu hakuwa na chembe ya Ubinadamu kabisa, halafu kila siku eti "Watanzania mniombee"yaani tukuombee utese watu?
Hakuwa na maana ya kumuombea maisha mema, bali kuombewa pumziko la milele!
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Na anavyopenda mahakamani mbona hili hakwenda?
 
Kuna binadamu wengine wakishazaliwa wanageuka kuwa Shetani mwenyewe.Jiwe Magufuli alikuwa Shetani halisi.
 
Panua ubongo,kama alikuwa na biashara A na B huko Dubai lakini baada ya figisu za Pombe akaamua kwenda kuanzisha biashara C ulitaka asemeje
Ungekua umepanua ubongo ungejua niliyemjibu nilimjibu hivyo alisemaje.Kuliko kudandia tu

Swali lilikua kama amefungiwa biashara/akaunti alipata hela wapi za kwenda kuanzisha biashara Dubai??( Ziwe A,B,C,D....mpaka Z)

Haya jibu we kipusa
 
Kuna hotuba yake, ambapo hicho kipengele cha dhuluma aliyo tendewa binafsi, ni tone tu! Amezungumza mengi, itoshe tu kusema, mwendazake aliiweka miimili yote mitatu na taasisi nyingine mfukoni mwake!
 
Wanyonge wengi hata shule hawajaenda na wanaaminishwa unyonge wao umesababishwa na matajiri so wanyonge wakiona matajiri wanateswa wanafikiria watakuwa sawa kumbe umaskini wao unazidi. Sasa kufungua wafanyabiashara account ndo kumefanya Hadi mzunguko kudorora wa hela, na uchumi kukua kwa kiasi kidogo Sana.
In short wanyonge ni wachawi na ma sadist wabaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…