chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Katibu wa makampuni yake mwenyewe, mpokeaji wa barua pepe za kampuni mwenyewe, Mwenyekiti mwenyewe, Messenger mwenyewe! What a shame kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe!
No wonder hata CHADEMA uendeshaji wake ndiyo huo huo! Form za kujaza taarifa za TRA zinataka kuweka barua pepe ambayo mlipa kodi anaweza kufikiwa, na simu zisizopungua tatu. Kwa hiyo vyote vyote kwenye makampuni yake anatembea navyo yeye!
WHAT A SHAME!
Utakuwa na kitamburisho cha umachinga.TRA unaijua au unasimuliwa au umeajiliwa ujui matatizo kati ya wafanyabiashara na TRA