Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 13,336
- 12,370
Huwa anasema Mara kwa Mara kwamba anasali sana, hayo maneno yanahitaji jicho la pili.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣Unafahamu jinsia yako?
Hakujawahi kuwepo mwanaccm mcha MunguHuwa anasema Mara kwa Mara kwamba anasali Sana,hayo maneno yanahitaji jicho la pili
Aliyekuwa anakuweka mjini kishaenda sasa subiri moto ukuwakie, hakutakuwa na mswalie mtume wanafiki wakubwa nyie!Sawa Mukya
Haaa kwahiyo wanakuwa wacha Mungu nyuma ya mikameraHakujawahi kuwepo mwanaccm mcha Mungu
Sawa chanjo ya kengeza jealiyekuwa anakuweka mjini kishaenda sasa subiri moto ukuwakie, hakutakuwa na mswalie mtume wanafiki wakubwa nyie!
Dr Mpango ni shahidi Muhimu na anajua kila kituArudishiwe Fedha zake zote, halafu Afidiwe huo usumbufu alioupata. Nchi haiwezi kuendeshwa kiharamia.
Hamna ujanja nyie masikini, mlishaonywa msimtegemee mwanadam maana anaweza kufa mkabaki mmebung'aaa.Sawa chanjo ya kengeza je
Mimi ni tajiri sihitaji reward, napambana kwa ajili ya haki tu.Mkuu Chadema wakupe ubunge awamu ijayo, unawapambania sana.
Tatizo unafanya kama ubashiri ila elewa mimi sio kama wewe kibaraka wa kengeza hauna tofauti na Mukyahamna ujanja nyie masikini , mlishaonywa msimtegemee mwanadam maana anaweza kufa mkabaki mmebung'aaa
Tuliambiwa tutaondoka mjini,na tulipewa muda anayekumbuka ilikuwa hadi lini vile?,ila Mimi bado nadundazi japo kinyonge Sanahamna ujanja nyie masikini , mlishaonywa msimtegemee mwanadam maana anaweza kufa mkabaki mmebung'aaa
Utakimbia jfTatizo unafanya kama ubashiri ila elewa mimi sio kama wewe kibaraka wa kengeza hauna tofauti na Mukya