Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

Meko alikua shetani ibilisi kabisa sio binadamu wa kawaida kabisa yule.
Mashetanu ni ninyi wakwepa kulipa kodi😂🤣😂, kwa kweli mliishi kishetani motoni! Duuuuh, Magufuli baba lao, alipita mlemle kwenye maneno yake! Rip &power shujaa JPM, we salute you Hon! We shall forever miss your statesmanship!
 
Hakwenda kuanzisha biashara Dubai. Mbowe nnayemfahamu mimi ana biashara Dubai kitambo(2008) nishawahi kufanya biashara na kampuni mojawapo yake
Panua ubongo,kama alikuwa na biashara A na B huko Dubai lakini baada ya figisu za Pombe akaamua kwenda kuanzisha biashara C ulitaka asemeje
 
Mo siku akifunguka jinsi alivyolazimishwa kuhamisha hela siku alipotekwa ndipo mtajua kuwa hamjui. Nina ushahidi wa wazi wazi jinsi Jiwe alivyopora uwekezaji wa watu kwa kuwatisha. Yani ulikuwa unawekwa kwenye chumba usiku wa manane kazi ilikuwa moja kusaini nyaraka ama ukutane na chuma.

Kuna mmoja alisainishwa nyaraka usiku wa manane ili makampuni yake yataifishwe na hakuwa na jinsi maana TAKUKURU walikuwa wanamtisha kuwa akikaidi hatorudi tena kwao.

Yani kikosi kazi cha Jiwe kilikuwa kinaandaa nyaraka then unachukuliwa unapelekwa juu ghorofani na unakaa nao wewe peke yako! Hata mwanasheria wako haruhusiwi kuwepo.


Ebwanaeee Nenda zako mzee!
Lol ya kweli haya Mzee?
Hebu tusiongeze chumvi Mungu asije akatutenga.
Ni kweli Mkuu?
 
Asante Mungu kwa kutuondolea Lile Jiwe.

Yule mtu hakuwa na chembe ya Ubinadamu kabisa, halafu kila siku eti "Watanzania mniombee"yaani tukuombee utese watu?
Hakuwa na maana ya kumuombea maisha mema, bali kuombewa pumziko la milele!
 
Kama hakufata sheria..alitaka iweje!!! Kama alifata aende mahakamani..

Ila nawashangaa wengi.. maneno mengi kama vile uongozi wote umebadilika ukaja mpya kutoka sijui safari ipi.. na sheria za nchi zimekutwa..

Waendelee tu kuongea...........
Na anavyopenda mahakamani mbona hili hakwenda?
 
Kuna binadamu wengine wakishazaliwa wanageuka kuwa Shetani mwenyewe.Jiwe Magufuli alikuwa Shetani halisi.
 
Panua ubongo,kama alikuwa na biashara A na B huko Dubai lakini baada ya figisu za Pombe akaamua kwenda kuanzisha biashara C ulitaka asemeje
Ungekua umepanua ubongo ungejua niliyemjibu nilimjibu hivyo alisemaje.Kuliko kudandia tu

Swali lilikua kama amefungiwa biashara/akaunti alipata hela wapi za kwenda kuanzisha biashara Dubai??( Ziwe A,B,C,D....mpaka Z)

Haya jibu we kipusa
 
Mamlaka na taasisi zilizohusika kufanya hayo zipo kwanini watendewa hawaendi kushiktaki?
Unapo ona kuna mahala ukutendewa ndivyo sivyo ni wajibu wako kuchukua hatua stahiki kuliko kulalamika na kumuattack mtu mmoja kibaya zaidi hayupo.
Serikali ni taasisi sio mtu personal, paper works zipo.
Mbona mnakuwa kama sio wasomi.
Ndio maana CAG ameweka kila kitu kisomi ni jukumu la wahusika kuchuliwa hatua /kujibu hoja za CAG vikiwemo vyama vya siasa,taasisi na wakala wa Serikali.
Hoja ya Mh. Mbowe aiweke kimaandishi na kuwasilisha kunako husika TRA.
Kuna hotuba yake, ambapo hicho kipengele cha dhuluma aliyo tendewa binafsi, ni tone tu! Amezungumza mengi, itoshe tu kusema, mwendazake aliiweka miimili yote mitatu na taasisi nyingine mfukoni mwake!
 
Halafu Kuna vilaza Face Book vinapinga,vinatetea na kusikitika akikaangwa na CAG.

Vijitu vinavyoitwa vinyonge vina Chuki Sana na watu wenye maendeleo,

Kwa kuwa alitesa wafanyakazi,wafanyabiashara,matajiri na watu wenye mafanikio hivyo vijitu vinyonge vya Face book vinamuona shujaa.
Shujaa makopo.
Wanyonge wengi hata shule hawajaenda na wanaaminishwa unyonge wao umesababishwa na matajiri so wanyonge wakiona matajiri wanateswa wanafikiria watakuwa sawa kumbe umaskini wao unazidi. Sasa kufungua wafanyabiashara account ndo kumefanya Hadi mzunguko kudorora wa hela, na uchumi kukua kwa kiasi kidogo Sana.
In short wanyonge ni wachawi na ma sadist wabaya sana
 
Back
Top Bottom