Freeman Mbowe: TRA walinidai Kodi Bilioni 2, Wakafunga akaunti zangu zote za biashara mpaka binafsi, Wakachukua hela

hamna ujanja nyie masikini , mlishaonywa msimtegemee mwanadam maana anaweza kufa mkabaki mmebung'aaa
Tatizo unafanya kama ubashiri ila elewa mimi sio kama wewe kibaraka wa kengeza hauna tofauti na Mukya
 
Nakuuliza swali 1 tu naomba unijibu.

Unawaamini wanasiasa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…