Katibu wa makampuni yake mwenyewe, mpokeaji wa barua pepe za kampuni mwenyewe, Mwenyekiti mwenyewe, Messenger mwenyewe! What a shame kwa kiongozi mkubwa kama Mbowe!
No wonder hata CHADEMA uendeshaji wake ndiyo huo huo! Form za kujaza taarifa za TRA zinataka kuweka barua pepe ambayo mlipa kodi anaweza kufikiwa, na simu zisizopungua tatu. Kwa hiyo vyote vyote kwenye makampuni yake anatembea navyo yeye!
WHAT A SHAME!
Kuliko mayatima wa mwendazake..? Maana ona sasa wanamshambulia mpaka CAG na kumtishia maisha..Mbowe ana miliki wanachama wajinga sana.
Wewe bado mtoto mdogo sana hujui hata unachoongeaKuliko mayatima wa mwendazake..? Maana ona sasa wanamshambulia mpaka CAG na kumtishia maisha..
Sukuma gang inasambaratika..
Mbowe ni mfanyabiashara old money lazima account za nje zisome biashara zina bima,asset alizonazo anaweza uza na akapata mtaji,simple.Mbowe ni muongo.
Mbowe anasema alifungiwa akaunti zote lakini akaamua kwenda kufanya Biashara Dubai, hizo hela za kwenda kuanzisha biashara Dubai zilikua akaunti gani kama akaunti zake zote TRA walifungia?
CCM inamiliki wanachama wajinga zaidi Yaani kuendekeza Tabia mbovu za kuwabambikia kodi kubwa wafanyabiashara kuwafungia Account biashara kuwabambikia kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi ndiyo CCM kuwa inamiliki wanachama wenye Akili?Mbowe ana miliki wanachama wajinga sana.
Eti wanasema marehemu magufuli alikuwa mtume malaika hapo ndipo wanufaika wa udikiteta wa magufuli huushangaza ulimwenguWawarudishie hela zao watu wa bureau de change huo uhakiki wa zaidi ya miaka 4 ni wa wapi? Wezi wanajulikana kwenye CCTV