ntamaholo
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 12,938
- 6,942
Tunaanzia wapi? Mbona mna siri sanaKuelekea maandamano ya CHADEMA 23/9/2024 ni vyema kuelewa kua yatakua maandamano ya vita na sio ya amani na hii ni kutokana na hotuba ya Raisi leo mchana. Cha mwisho CDM mnazungukana sana imagine maongezi ya siri ya kamati kuu yote yanamfikia Rais🙄. Nawatakia kila la kheri kwenye mapambano ya haki.