KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Inamaana wewe hukaa hapa hapa JF ukisubiri kila mada inayobandikwa hapa uwe wa kwanza kuijibu?Hahaha walisema watamshitaki Kikwete Mahakama ya kimataifa
Leo hii Kikwete yupo anakula pension taratibu
Hawa watu wamekuwa bongo mobe
Na Mimi namshangaa sana!Nani kakudanganya kwamba ili uwe 'Genius' lazima ufaulu masomo ya darasani?
Mbowe ni muhuni kama wahuni wengine yale maridhiano yalikuwa ya nini na Mh. Rais...
Wajue tu Bunge lijalo hawarudi kule...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kelele za Chura hazimzuii Tembo kunywa maji
Genius ana patent ngapi?Leo nakiri kwamba Mbowe ni moja ya wanasiasa ma-genius kuwai kutokea Tanzania na atabaki kwenye historia ya siasa za Tanzania vizazi na vizazi.
Mimi ni mmoja ya watu nilikuja na threads nyingi JF kupinga asiendelee ila kama nchi yenyewe ndio ina watu wa namna hii kwenye kuchanganua mambo bora aendelee tu na uwenyekiti wake.
Zikiwa zimebaki siku 5 uchaguzi ufanyike wa mwenyekiti ndani ya chadema watu wote mawazo yako mwanza kwenye sherehe za uhuru na kilichotokea.
Mbowe anajua anachokifanya na hii kitu haikutokea kwa bahati mbaya lengo ni kupunguza moto uliokuwa umewashwa juu ya uwenyekiti.
Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.
Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.
Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.
Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.
Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.
Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
Kwa kuwa anawaza mbali zaidi yako from 0 ulipo wewe mpaka 1000km walipo maprof wa serkal hauwezi kuwaelewa ww muelewe mbowe ambaye yeye na wewe mna 0Heri Mbowe aliyelamba zero kuliko kuwa na Maprofesa wasio na uwezo wa ku-reason critically! Eti unakuta Katibu Mkuu ni Profesa halafu Waziri wake ni Form Four (sijamsema Mzee Lukuvi)!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimepitia kauli ya Mbowe inayoenezwa na wafuasi wake kwenye Mitandao ya kijamii.
Eti anadai kuwa atakaposhindwa uchaguzi wa 2020 eti ataishitaki Tanzania Umoja wa Mataifa ili waje wamtawalishe kinguvu.
Siku moja Baba wa Taifa aliwahi kuiambia UN kinagaubaga kwamba UN sio serikali ya Dunia bali ni sehemu ambayo dunia inakutana.
Hivyo basi, UN haina nguvu ya kuingilia mambo ya ndani ya nchi yetu.
Kwahakika, Mbowe anazeeka vibaya kama Maalim Seif ambaye aliwahi kuyashawishi mataifa ya ulaya yatupige vikwazo vua kiuchumi ili tufe njaa.
Tunawaambia kwa sauti kubwa kuwa Tanzania inalindwa na Mungu. Kamwe hakuna anayezidi nguvu za Mungu.
Hii elimu ya nchi hii inanishangaza! Eti inakuwaje huyo mwenye zero anatema yai lugha ya kusomea halafu unakuta aliyevaa majoho Mara tatu na kugundua maganda ya bidhaa za kangomba yanaweza kupikia maandazi lugha ya kusomea haimanyi hata umtandike bakora ya kichwa?Kama ni genius na alilamba zero basi walimu wake watakuwaje?
Ni upendo wako tu sio ishu
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mie ndivyo ninavyoelewaMtatunga theories zote lakini ukweli ni kuwa kauli ya Mbowe kule Mwanza ilikuwa ni angalizo tu na siyo kuwa alijisalimisha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maridhiano ya nini? Kosa gani hilo. Watu wanataka wasifanye kazi waend kwenye mikutano ya kila week. Kuazia asubui had jioni. Halafu wanalalami eti Pesa hakuna. Viongozi wanalalami Pesa za ruzuku. Na kulaumu serikali hiyo aifai. Wakati was ndio waliowashawishi wasifanye kazi na lends Kwenye mikutano ya uchocheziHizo siyo kauli za kutoa wakati huu ambapo yete mwenyewe amependekeza kuwepo kwa maridhiano, halafu hata majibu hakapewa anaanza kutoa kauli za vitisho na za kitoto kuasi hicho.
Naziita kuwa ni kauli za kitoto sababu wote tunajia hawana ueezo wa kufanya lolote la kupelekea UN kuingilia kati.
Kwanza huyo anayemtishia hayo yupo wapi?