kwani hawa masons ni nani?...wanafaida au hasara gani kwangu mimi mtanzania ninayeishi chini ya kipato cha usd 1 kwa siku?...au ndio mambo yetu ya kushabikia mambo yasiyokuwa na msingi kwetu sisis ila kwao wao....tafakarini kisha chukueni hatua....NI MAONI TUUU
Fanya uchunguzi wa kina ukisha wajua utajua ni jinsi gani wanakugusa au wana gusa maisha ya kila mtu