Logo
JF-Expert Member
- Jan 26, 2011
- 588
- 48
Exactly hao jamaa ni kweli wapo na ndo wanaoshikilia mfumo mzima wa fedha dunian kupitia vtu kama WB&IMF,Jay Z,Kanye west,OBAMA ni baadhi ya watu wakubwa sana humo(pia angalia video ya jay z ya run this town ina ujumbe na ishara kubwa za hao majamaa) pia angalia kwenye dictionary kubwa wameelezwa humo pia unaweza kugugo habari zao zote zinamwagwa mpaka utasizi! N.B hao ndo wanaotupeleka kwenye kukamilisha historia ya ulimwengu huu!! SOMA MAANDIKO UPATE MAARIFA!! I wil b' back
Thanks gud point! :clap2: