Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 806
Je freemansons ndio wanaingia
Tanzania? si kweli kumekuwa na
mshituko mkubwa kwa watanzania
juu ya uingiaji wa Freemanson hapa
nchini.Lakini ukweli ni kwamba jamii
hii ya Freemanson ilikuwapo na itakuwepo kwa karne nyingi zilizopita
na zijazo hapa nchini na duniani kote,
isipokuwa wao hufanya mambo yao
kwa siri kubwa kiasi kwamba watu
wa kawaida(layman) hawata weza
kujua kirahisi rahisi tu uwepo wa jamii hii na malengo yao Hakuna ajuaye kwa asilimia mia moja
Freemanson hujishughulisha na nini
na malengo yao nini zaidi,isipokuwa
kumekuwepo na mitizamo tofauti ya
utendaji mzima wa jamii hii duniani, na
wachunguzi wengi wao wenyewe hawakuwahi kuwa freemanson,au
hata kusomea diploma yeyote
ihusianayo na uchunguzi na utendaji
wa freemanson , kwa mujibu huo
ukweli wa utendaji wa freemans
utabaki chini yao wenyewe mpaka pale watakapoamua wao wenyewe
kutujulisha umma, ama ukitaka kujua
kwa undani zaidi basi jiunge nao,
(warning; freemanson si wavujishaji
siri wapo radhi kutetea siri zao hata
kwa damu) Historia ya freemansonry
imegwanyika katika sehemu
mbili,kabla na baada ya uanzhishwaji
wa (grand lodge) lodge ya uingereza mwaka 1717 kabla ya hapa, mwanzo
wake na ukweli wake umekuwa wa
simulizi,simulizi ambazo zimekuwa
zikifafanuliwa na mambo ya zama,na
zana tofauti, zama kubwa kabisa
ambayo imekuwa ikichukua nafais kubwa ni ile inayosema waanzilishi wa
freemanson(first members) walikuwa
ni wajenzi wa hekalu la mfalme
solomon ( king solomon temple) kwa
wasomi wa biblia hujua hii zana
kiurahisi,baada ya ujenzi wa loji ya uingereza ndipo historia mpya na
mwanzo mpya wa freemanson
ulipoanza kujulikana duniani,
freemanson pia imekuwa ikihusishwa
na ,watu wa Rumi(rome), Musa
(moses) wa biblia na hata uzao wa Nuhu (Noah)wa biblia Mwanajumuiya mpya wa freemanson
akiwa ameajianda tayari kuanyiwa
ibada ya ukaribisho. Nimegusia historia ya freemansonry
kwa kifupi lakini ukweli ni kwamba
historia yao ni ndefu sana na ambayo
imejaa utata mwingi , lakini kabla
hatujaendelea zaidi kufahamishana
juu ya hawa watu ni vyema ukijua jumuiya nyingine ndogo ijulikanayo
kama skull and bone( fuvu na mfupa) skull and bone ni jumuiya ambayo
ilianza nchini marekani ( kumbuka
freemanson ilianza jerusalem ,
kutokana na historia ikaweza fika
mpaka england ama uingereza ) hawa
skull and bone wao walianzia. Yale university chini ya usimamizi wa
George H .W. Bush ama kwa lugha
nyingine inaitwa Yale secret society, skull and bone ilianzishwa Nchini
marekani ili kuweza kuendeleza
shughuli za kimansons,ambayo pia
kwa ilitaka kuchukua sura ya ile ya
uingereza ijulikanayo kama night of templer (ambayo tony blair anasemekana kuwa mtu wa ngazi ya juu sana ambayo ni 33 decree) ,33 decree inasemekana kuwa ni
ngazi ya juu kabisa lakini hata
mwenye ngazi hiyo hajui kama yeye
ndiye bosi , kazi ya night of templer
wa uingreza na ya skull and bone ya
marekani hazitofautiani zote malengo yao ni kuweza kutimiza matakwa ya
freemanson hizi ni moja ya organi tu
ama kiungo kama vile mwili wa
binadamu bila mikono ama miguu
huwa na upungufu ndivyo ilivyo kwa
freemanson na hawa jamaa wa skull and bone na night of templer ingawa
jamii hizi mbili zina malengo sawa
lakini kwa muda mrefu zimekuwa
haziingiliani katika utendaji ile
(jusridictions) kuna mipaka mingi ya
kiutendaji kutokana na nchi na nchi, Moja ya picha ya wanachama wa
mwanzo wa yale university secret
society ilitolewa na SkullandCrossBones.org hii ni picha inayonyesha nembo ya
skull and bone katika yale university
america, kwa kifupi skull and bone
imekuwa na mlolongo wa ukoo wa
Bush ndani yake hii inamaanisha
kuwa skull and bone ni jumuiya muhimu katika marekani na duniani
kwa ujumla , pia night of templer ya
uingereza imukusanya viongozi wa
uingreza akiwemo Tony blair hii
ianonyesha kuwa night of templer ni
jumuiya muhimu katika kubadili historia ya dunia, jumuiya zote hizi
mbili zimekuwa zikifanya kazi chini ya
Freemanson kama moja ya organi
zake , kwa leo tuishie hapa mpaka
wakati mwingine ambapo nitawaletea
umuhimu wa alama, salam ya siri, michoro, na majengo mbali mbali
duniani yanayowakilisha freemanson
na maana ya illuminati, nwo(new
world order) na mengineyo SOURCE WWW.VIGILANTCITIZEN.COM WWW.http:// nwoobserver.wordpress.com