Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Je freemansons ndio wanaingia
Tanzania? si kweli kumekuwa na
mshituko mkubwa kwa watanzania
juu ya uingiaji wa Freemanson hapa
nchini.Lakini ukweli ni kwamba jamii
hii ya Freemanson ilikuwapo na itakuwepo kwa karne nyingi zilizopita
na zijazo hapa nchini na duniani kote,
isipokuwa wao hufanya mambo yao
kwa siri kubwa kiasi kwamba watu
wa kawaida(layman) hawata weza
kujua kirahisi rahisi tu uwepo wa jamii hii na malengo yao Hakuna ajuaye kwa asilimia mia moja
Freemanson hujishughulisha na nini
na malengo yao nini zaidi,isipokuwa
kumekuwepo na mitizamo tofauti ya
utendaji mzima wa jamii hii duniani, na
wachunguzi wengi wao wenyewe hawakuwahi kuwa freemanson,au
hata kusomea diploma yeyote
ihusianayo na uchunguzi na utendaji
wa freemanson , kwa mujibu huo
ukweli wa utendaji wa freemans
utabaki chini yao wenyewe mpaka pale watakapoamua wao wenyewe
kutujulisha umma, ama ukitaka kujua
kwa undani zaidi basi jiunge nao,
(warning; freemanson si wavujishaji
siri wapo radhi kutetea siri zao hata
kwa damu) Historia ya freemansonry
imegwanyika katika sehemu
mbili,kabla na baada ya uanzhishwaji
wa (grand lodge) lodge ya uingereza mwaka 1717 kabla ya hapa, mwanzo
wake na ukweli wake umekuwa wa
simulizi,simulizi ambazo zimekuwa
zikifafanuliwa na mambo ya zama,na
zana tofauti, zama kubwa kabisa
ambayo imekuwa ikichukua nafais kubwa ni ile inayosema waanzilishi wa
freemanson(first members) walikuwa
ni wajenzi wa hekalu la mfalme
solomon ( king solomon temple) kwa
wasomi wa biblia hujua hii zana
kiurahisi,baada ya ujenzi wa loji ya uingereza ndipo historia mpya na
mwanzo mpya wa freemanson
ulipoanza kujulikana duniani,
freemanson pia imekuwa ikihusishwa
na ,watu wa Rumi(rome), Musa
(moses) wa biblia na hata uzao wa Nuhu (Noah)wa biblia Mwanajumuiya mpya wa freemanson
akiwa ameajianda tayari kuanyiwa
ibada ya ukaribisho. Nimegusia historia ya freemansonry
kwa kifupi lakini ukweli ni kwamba
historia yao ni ndefu sana na ambayo
imejaa utata mwingi , lakini kabla
hatujaendelea zaidi kufahamishana
juu ya hawa watu ni vyema ukijua jumuiya nyingine ndogo ijulikanayo
kama skull and bone( fuvu na mfupa) skull and bone ni jumuiya ambayo
ilianza nchini marekani ( kumbuka
freemanson ilianza jerusalem ,
kutokana na historia ikaweza fika
mpaka england ama uingereza ) hawa
skull and bone wao walianzia. Yale university chini ya usimamizi wa
George H .W. Bush ama kwa lugha
nyingine inaitwa Yale secret society, skull and bone ilianzishwa Nchini
marekani ili kuweza kuendeleza
shughuli za kimansons,ambayo pia
kwa ilitaka kuchukua sura ya ile ya
uingereza ijulikanayo kama night of templer (ambayo tony blair anasemekana kuwa mtu wa ngazi ya juu sana ambayo ni 33 decree) ,33 decree inasemekana kuwa ni
ngazi ya juu kabisa lakini hata
mwenye ngazi hiyo hajui kama yeye
ndiye bosi , kazi ya night of templer
wa uingreza na ya skull and bone ya
marekani hazitofautiani zote malengo yao ni kuweza kutimiza matakwa ya
freemanson hizi ni moja ya organi tu
ama kiungo kama vile mwili wa
binadamu bila mikono ama miguu
huwa na upungufu ndivyo ilivyo kwa
freemanson na hawa jamaa wa skull and bone na night of templer ingawa
jamii hizi mbili zina malengo sawa
lakini kwa muda mrefu zimekuwa
haziingiliani katika utendaji ile
(jusridictions) kuna mipaka mingi ya
kiutendaji kutokana na nchi na nchi, Moja ya picha ya wanachama wa
mwanzo wa yale university secret
society ilitolewa na SkullandCrossBones.org hii ni picha inayonyesha nembo ya
skull and bone katika yale university
america, kwa kifupi skull and bone
imekuwa na mlolongo wa ukoo wa
Bush ndani yake hii inamaanisha
kuwa skull and bone ni jumuiya muhimu katika marekani na duniani
kwa ujumla , pia night of templer ya
uingereza imukusanya viongozi wa
uingreza akiwemo Tony blair hii
ianonyesha kuwa night of templer ni
jumuiya muhimu katika kubadili historia ya dunia, jumuiya zote hizi
mbili zimekuwa zikifanya kazi chini ya
Freemanson kama moja ya organi
zake , kwa leo tuishie hapa mpaka
wakati mwingine ambapo nitawaletea
umuhimu wa alama, salam ya siri, michoro, na majengo mbali mbali
duniani yanayowakilisha freemanson
na maana ya illuminati, nwo(new
world order) na mengineyo SOURCE WWW.VIGILANTCITIZEN.COM WWW.http:// nwoobserver.wordpress.com
 
uwepo wa freemason unaniathoiri nini galagabaho mie?
 
Kwa wale wanaojua ulimwengu ulivyo kwa sasa na wanaofuatilia freemason iliyo ndani ya ILLUMINATI wanajua mambo yanavyoendelea,chadema wana nguvu nchini kiasi cha kuleta mtafaruku CCM,katika nchi zote ulimwenguni serikali zote zimewekwa na freemason,kama kuna serikali ipo madarakan iko kinyume na hawa jamaa au wameichoka basi iko ukingoni,Chadema wanaelekea kuchua nchi,je wako pamoja na hawa jamaa,maana mchakato uliopo duniani ni kuundwa kwa serikali moja na dini moja inayomuabudu LUCIFER,Chadema mpo upande gani?
 
.
Kabla ya kwanza kuwauliza chadema ambao hawajashika dola, wewe kwanza na serikali yako mpo upande gani?
.
 
Kwa wale wanaojua ulimwengu ulivyo kwa sasa na wanaofuatilia freemason iliyo ndani ya ILLUMINATI wanajua mambo yanavyoendelea,chadema wana nguvu nchini kiasi cha kuleta mtafaruku CCM,katika nchi zote ulimwenguni serikali zote zimewekwa na freemason,kama kuna serikali ipo madarakan iko kinyume na hawa jamaa au wameichoka basi iko ukingoni,Chadema wanaelekea kuchua nchi,je wako pamoja na hawa jamaa,maana mchakato uliopo duniani ni kuundwa kwa serikali moja na dini moja inayomuabudu LUCIFER,Chadema mpo upande gani?

Cheap politics! Unataka kusema TANU na baadae CCM wamekuwa madarakani kwa nguvu ya FREEMASON? kama wewe ni mfuatiliaji mzuri wa siasa nchi nyingi kama unavyotaka tuamini utagundua chanzo kikubwa cha vyama siasa kuporomoka na hata serikali wanazoongoza kukosa mvuto ni migogoro ya ndani. i.e Margeth Tharther vs. John Major, Tony Blair vs. Gordon Brown na sasa tumenusa ANC Zuma vs. Mbeki. Kwa hoja yako unataka kusema Watanzania milioni 40 na ushee hawana utashi kwa kuamua ni nani au chama gani kiwaongoze bila ya nguvu ya hao unaowaita FREEMASON? Dharau!
 
Hawa jamaa freemason kuna mambo wanayoyafanya yanayokinzana hata na dhamira zao wenyewe ndio maana yanakuwa ni ya kifichi. Kimsingi hawawezi kukwepa kuwa wao sio dini kwani imani yao imejengwa katika kitabu cha biblia ila kwa tafsiri potofu iliyo ya kimwili(kiakili) zaidi. Na wanapingana na msingi mkuu wa kitabu cha biblia. Wanaamini na kudai kwamba kitabu cha mwanzo (ginesis) ndio mwanzo wa kuidharau biologia ya uumbaji na kumfanya mwanamume kuwa muumbaji wa mwanamke kwamba Eva alitoka katika ubavu wa Adamu. Sasa hii ndio wanaamini ni mwanzo wa uuaji wa goddes. Kwani kabla ya hapo hata huko misri ya kale makuhani wanawake walifanya sherehe ya kusherehekea ngunvu ya uumbaji kwa kufanya tendo la ngono na makuhani wanaume. Hawa freemason/illuminati wana ibaada ya kusherehekea nguvu ya uumbaji kwa uungu wa kike (femimine) kukutana kingono na nguvu ya uumbaji ya kiume (masculine). Tendo hili wanaliita sherehe takatifu ta millennia ati yahwe meet shakhina(utukufu wa shekina
). Pia wana malawimaaluma na wanawake wakati wa hilo tendo huvaa masks kiasi kwamba sii raisi mwanaume anaemwingilia kutambua ni nani. Hii inawezapelekea ukamwingilia mama/dada yako kingono kama nae ni mwanachama wa hili kundi. Ma-illuminate wao wamejizatiti zaidi kisayansi na wanamwelezea mungu kiphisykia na nguvu zao wameziweka katika uchumi. Na madai yao yakuwawezesha wanadai yametokana na kuwekeza katika ufunguaji wa elimu ya juu (university), viwanda na ubunifu wa serikali za kisekula nje ya zile za kale ya kidini. Wanaamini kushikilia akili ya uendeshaji wa sayari yetu. Ni wapinzani wakubwa wa imani ya ukristo hasa kwenye eneo la uungu wa Yesu, kwani wanaamini jambo hilo ni deal la kanisha hasa RC kuanzia wakati wa constantine the great.
Kimsingi wana mengi yalio imani mbofu mbofu ambayo tunaweza kuyadonoa kidogo kidogo kadri tutakavyojaliwa.
.

Big up!
 
dollar_ase.gif

The all-seeing-eye on the dollar bill, which Americans see every time they make a cash transaction. Below the illuminati pyramid/eye symbol are the words: "Novus Ordo Seclorum," which can be translated as: ' A new order of the ages"

satan_hand_symbol.jpg

bush_satan_sign.jpg

George W. Bush at his 2005 inauguration

bush_satan_hand.jpg

bush_satan_2.jpg

bush_satan_3.jpg

Associated Press and Reuters called the above bush family hand signs the 'Texas Longhorn or 'Texas UT' symbol.

bush_satan_4.jpg

signs_of_satan.jpg

Silvio Berlusconi? Paul McCartney? Bill Clinton?

satan_sign.gif

Excerpt above from the "Satanic Bible"

satan_hand_1.jpg
satan_hand_2.jpg

The first image Represents the horned god of witchcraft, Pan or Cernunnos. Note the thumb under the fingers and given by the right hand. The next image is a sign of recognition between those in the Occult. When pointed at someone it is meant to place a curse. Note the thumb over the fingers and given by the left hand.
Take a look at the photos and decide for yourself.

Hii kali kweli. Nilikuwa najikumbusha za walemavu (MABUBU), kumbe yawezekana chimbuko lake ni freemason! hii kali kwelikweli.
 
Human Beings always fear what they don't understand. Mengi yalioandikwa hapo juu sio kweli kabisa kuhusu Free Masons wa kweli. As usual people have demonised what is otherwise a very noble and God centred organisation.
 
Kanisa la wasabato wanafundisha sana uundwaji wa serikali itakayotawala dunia kwa shinikizo la Marekani hapo badae wakitafsiri unabii wa biblia.

Kwamba kuna kundi inayoendesha serikali za dunia hata sasa chini ya mwavuli wa dini za kikristo lakini baada ya kuweka World Order itakuwa ni lazima kuadudu chini ya dini moja na siku moja kinyume na kumwabudu Mungu kwa uhuru na utashi wa mtu na hapo ndipo itakapotimika unabii kwenye Ufunuo 13 ambako watu hawatanunua wala kuuza kama hawana namba 666 ambayo ni alama ya utawala huo uliopo mpaka sasa lakini haujajidhihirisha manake bado wakati wake.

Watu wa ulimwengu wa sasa tuna bahati kuishi kwenye ulimwengu unaoheshimu uhuru kiasi kwamba tunajisahau na kuona haya mambo kama hadithi za alinacha. Lakini ukiangalia uhuru huu ambao mwanadamu anaufurahia hauna umri hata wa miaka 300. Ni rahisi sana haya mambo kubadilika ghafla na kutoweka huo uhuru kama ndivo ilivopangwa dunia kupitia huko. Soma kitabu cha Daniel kina ratiba ya dunia na haijawahi kukosewa au kuwa tofauti hiyo ratiba ya tawala za dunia. Kwa mujibu wa hiyo ratiba inayohitimishwa na utawala wa Mnyama anayetoka nchi kavu kwenye ufunuo 13 ambayo ni Marekani.

Ukisoma vitabu vya unabii vya wasabato vinavyofafanua sana unabii wa Daniel na Ufunuo unaweza dhania ni upuuzi hata wengine wameanza kukimbia hilo dhehebu wakifikiri wanahubiri kisichowezekana lakini kwa kusoma siri za Freemasons na Jesuits unaweza kupata picha ya nini kinauijia ulimwengu.

Mwaka kabla ya kuanguka kwa Urusi mwinjilisti mmoja alikuwa anatufundisha kuwa inavoonekana wakati huo wa vitabaridi Urusi ikishindana na Marekani kwa nguvu ya kijeshi tena akionyesha picha za silaha za kivita za kila upande lakini akasema Urusi haipo kwenye ramani ya Biblia kama vile isivokuwepo China hivo Urusi itatunisha misuli tu lakini mwisho wa siku ni Marekani ndiyo itakayosimama kutimiza unabii ambao badae watu watalazimishwa kuabudu kwa shinikizo la nchi hiyo.

Unabii huo unailezea Marekani kama Mwanakondoo mwenye Pembe mbili. Kiunabii wanyama wanatumiwa kuwakilisha tawala hivo USA inaonekana utawala mzuri wenye pembe mbili kama misingi yake yaani haki na Uhuru lakini baadaye ikiendelea inasema alibadilika na kunena kama joka. Huenda hapo ndo watakuwa wametekwa na Freemasons na kuamuru New World Order.
 
duh inatisha sana ila nadhani hawa jamaa wamekuwa wengi sana duniani na serikli zetu lazima zitakuwa zina bow kwao....

Hapo umempiga bao sheihk. Na nimeshtushwa na list ya mablack ktk jumuia hii. je mchonga alikuwa mmoja wao??

Duuuh...!!!!!!
 
mbona siku hizi wanamziki wengi hasa wa marekani mfano lady gaga,kanye west,jz ,willo smith,justine biebee.......nk,ukisikiliza nyimbo zao alafu ukitazama video za nyimbo husika havihusiani kabisa mfano lady gaga -born this way hii nyimbo video yake inakuwa kama kuna usiri ndani yake pia ukitazama video yake ya Aleandro ukiitazama alafu linganisha na mp3 yake yaani anamanisha kitu fulani tofauti kabisa na anachoimba;kanye w-power,jesie j-price tag nk hivi na hawa ni mafreemason?
 
Je freemansons ndio wanaingia
Tanzania? si kweli kumekuwa na
mshituko mkubwa kwa watanzania
juu ya uingiaji wa Freemanson hapa
nchini.Lakini ukweli ni kwamba jamii
hii ya Freemanson ilikuwapo na itakuwepo kwa karne nyingi zilizopita
na zijazo hapa nchini na duniani kote,
isipokuwa wao hufanya mambo yao
kwa siri kubwa kiasi kwamba watu
wa kawaida(layman) hawata weza
kujua kirahisi rahisi tu uwepo wa jamii hii na malengo yao Hakuna ajuaye kwa asilimia mia moja
Freemanson hujishughulisha na nini
na malengo yao nini zaidi,isipokuwa
kumekuwepo na mitizamo tofauti ya
utendaji mzima wa jamii hii duniani, na
wachunguzi wengi wao wenyewe hawakuwahi kuwa freemanson,au
hata kusomea diploma yeyote
ihusianayo na uchunguzi na utendaji
wa freemanson , kwa mujibu huo
ukweli wa utendaji wa freemans
utabaki chini yao wenyewe mpaka pale watakapoamua wao wenyewe
kutujulisha umma, ama ukitaka kujua
kwa undani zaidi basi jiunge nao,
(warning; freemanson si wavujishaji
siri wapo radhi kutetea siri zao hata
kwa damu) Historia ya freemansonry
imegwanyika katika sehemu
mbili,kabla na baada ya uanzhishwaji
wa (grand lodge) lodge ya uingereza mwaka 1717 kabla ya hapa, mwanzo
wake na ukweli wake umekuwa wa
simulizi,simulizi ambazo zimekuwa
zikifafanuliwa na mambo ya zama,na
zana tofauti, zama kubwa kabisa
ambayo imekuwa ikichukua nafais kubwa ni ile inayosema waanzilishi wa
freemanson(first members) walikuwa
ni wajenzi wa hekalu la mfalme
solomon ( king solomon temple) kwa
wasomi wa biblia hujua hii zana
kiurahisi,baada ya ujenzi wa loji ya uingereza ndipo historia mpya na
mwanzo mpya wa freemanson
ulipoanza kujulikana duniani,
freemanson pia imekuwa ikihusishwa
na ,watu wa Rumi(rome), Musa
(moses) wa biblia na hata uzao wa Nuhu (Noah)wa biblia Mwanajumuiya mpya wa freemanson
akiwa ameajianda tayari kuanyiwa
ibada ya ukaribisho. Nimegusia historia ya freemansonry
kwa kifupi lakini ukweli ni kwamba
historia yao ni ndefu sana na ambayo
imejaa utata mwingi , lakini kabla
hatujaendelea zaidi kufahamishana
juu ya hawa watu ni vyema ukijua jumuiya nyingine ndogo ijulikanayo
kama skull and bone( fuvu na mfupa) skull and bone ni jumuiya ambayo
ilianza nchini marekani ( kumbuka
freemanson ilianza jerusalem ,
kutokana na historia ikaweza fika
mpaka england ama uingereza ) hawa
skull and bone wao walianzia. Yale university chini ya usimamizi wa
George H .W. Bush ama kwa lugha
nyingine inaitwa Yale secret society, skull and bone ilianzishwa Nchini
marekani ili kuweza kuendeleza
shughuli za kimansons,ambayo pia
kwa ilitaka kuchukua sura ya ile ya
uingereza ijulikanayo kama night of templer (ambayo tony blair anasemekana kuwa mtu wa ngazi ya juu sana ambayo ni 33 decree) ,33 decree inasemekana kuwa ni
ngazi ya juu kabisa lakini hata
mwenye ngazi hiyo hajui kama yeye
ndiye bosi , kazi ya night of templer
wa uingreza na ya skull and bone ya
marekani hazitofautiani zote malengo yao ni kuweza kutimiza matakwa ya
freemanson hizi ni moja ya organi tu
ama kiungo kama vile mwili wa
binadamu bila mikono ama miguu
huwa na upungufu ndivyo ilivyo kwa
freemanson na hawa jamaa wa skull and bone na night of templer ingawa
jamii hizi mbili zina malengo sawa
lakini kwa muda mrefu zimekuwa
haziingiliani katika utendaji ile
(jusridictions) kuna mipaka mingi ya
kiutendaji kutokana na nchi na nchi, Moja ya picha ya wanachama wa
mwanzo wa yale university secret
society ilitolewa na SkullandCrossBones.org hii ni picha inayonyesha nembo ya
skull and bone katika yale university
america, kwa kifupi skull and bone
imekuwa na mlolongo wa ukoo wa
Bush ndani yake hii inamaanisha
kuwa skull and bone ni jumuiya muhimu katika marekani na duniani
kwa ujumla , pia night of templer ya
uingereza imukusanya viongozi wa
uingreza akiwemo Tony blair hii
ianonyesha kuwa night of templer ni
jumuiya muhimu katika kubadili historia ya dunia, jumuiya zote hizi
mbili zimekuwa zikifanya kazi chini ya
Freemanson kama moja ya organi
zake , kwa leo tuishie hapa mpaka
wakati mwingine ambapo nitawaletea
umuhimu wa alama, salam ya siri, michoro, na majengo mbali mbali
duniani yanayowakilisha freemanson
na maana ya illuminati, nwo(new
world order) na mengineyo SOURCE The Vigilant Citizen WWW.http:// nwoobserver.wordpress.com

Very interesting, keep on feeding us with more info, but i wonder how is t possible you've the info and accusing other sources not to be reliable sources. How can we assure ourselves your source is the reliable one and its not heresy.
 
du;;' kali, lakini tujiulize, nini chanzo cha nguvu zao, kwani shetani ana nguvu kuliko MUNGU? WAU WA MUNGU WAENDELEE KUMUAMINI MUNGU KWA MAFANIKI MAKUBWA.:smile-big:
 
duuhhh ama kweli ndio mwisho wa dunia waja ni bora watu tutubu tuu dhambi zetu na kujinyenyekeza kwa Mungu
Dont tell me na manchester united nayo imo maana nasikia hata kampuni kubwa duniani zipo in it kama nike na coca cola

pamoja na wamiliki ama miliki wa man U.
 
thnx kwa kunipa knowledge thher are some things that i have seen in ur thread and i had neva thought if they are freemasonic
 
Mkuu nakukubali sana, yaani umechimbua mambo ambayo wengine wetu hakuwa tunajua. Sasa, hivi ni kwanini hawa jamaa imani yao haiwataki wanawake? kwani wanawake hawastahili kuabudu? na labda niulize, maana aulizaye ataka kujua ati! hivi wao nao wana kitabu chao cha ibada mbali ya biblia na qur'an? maana inaonyesha wafuasi wao wamo wakristo, wasilamu na hata wapagani.
HAWA JAMAA SI KWELI HAIWATAKI WANAWAKE tena wapo wanawake mashuhuri sana ni wanachama tena wa vyeo vya juu sana, na kuhusu kuabudu ndio wakikutana wenyewe wanayo aina ya kitabu vitabu wavituiavyo kuabudu ila wakijumuika na watu wengine hujifanya kuabudu katika makanisa na misikiti kama wafanyavyo wengine hivyo basi wapo wakristo waislamu wahindu wabudha na kadhalika ni ngumu kujua ukiwakuta makanisani na misikitini huwa wanaact kama waumini wengine ila sasa kwa wale wa level za kujidhihirisha huenda kabisa katika temple zao kama ile iliyoposta.
 
mbona siku hizi wanamziki wengi hasa wa marekani mfano lady gaga,kanye west,jz ,willo smith,justine biebee.......nk,ukisikiliza nyimbo zao alafu ukitazama video za nyimbo husika havihusiani kabisa mfano lady gaga -born this way hii nyimbo video yake inakuwa kama kuna usiri ndani yake pia ukitazama video yake ya Aleandro ukiitazama alafu linganisha na mp3 yake yaani anamanisha kitu fulani tofauti kabisa na anachoimba;kanye w-power,jesie j-price tag nk hivi na hawa ni mafreemason?

wanasadikika kuwa. na wanasadikika kutumiwa kwa vipaji vyao kutangaza hayo uyaonayo kwa makusudi huku wakiahidiwa pesa nyingi na maisha mazuri. tafuta mind control techniques utaelewa zaidi wanachofanya hawa uliowataja
 
Lucifer alikuwa kiongozi wa worship na praise before fall kwa hiyo anointing ya muziki anayo bado na kila mwanamzuki asiye msifu Mungu katika miziki yake anapata anointing ya shetani kumsifu yeye basi kuanzia leo ndo ujue kila sauti isiyo msifu mungu ni sauti inayomsifu Lucifer the devil and the great enemy of the living God in the name of Jesus. Shetani hana nguvu tena yakumdhuru mwanadamu ambaye hana mkataba naye ila anatumia agents wake kuwa inflict people kwakuwapa matatizo mbalimbali kwa njia za kichawi, kipepo na ili kuwafikia wanadamu hutumia wanadamu waliokubali kutumika ama kwakujua au kwakutokujua. Pia kimwili hayuko nyuma kuwaumiza wanadamu kwakuleta vita, magomvi na fitina ili tu kuondoa amani ya mwanadamu humu duniani. Habari njema ni kuwa wale wote wanaoamua kutoka katika mikono yake na utawala wake wana njia ya kutokea nayo hiyo njia inapatikana kwa kuliamini Jina la Yesu na nguvu ya wokovu aliompa mwanadamu bure kwakulipa deni lote la uasi. Shetani kwa wale walio askari katika jeshi la kristo ni kiumbe dhaifu sana spiritually na hata physically. Niliwahi kuzozana na moja wa hao waabudu shetani akanitishia maana nilikuwa na fellowship katika kanisa lake kabla sijagundua na yeye ni moja wao. Leo nikienda kumhubiria injili ataanguka chini ya miguu yake amwabudu mungu aliye hai maana badala ya mimi kuangamia yeye sasa yuko on fire nami namwacha mpaka ajisalimishe mwenyewe kwa mungu. Siku hizi yuko bussy kunitumia email nami nimemweka kwenye ignore list. Those who know their God shall mount like eagles!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom