Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.


Thanks gud point! :clap2:
 

Nikimaliza kazi mkuu utaiona report kwenye blog yangu!
 

Inaelekea unawajua sana hawa jamaa. Kwahayo maelezo yako.
 
Inaelekea unawajua sana hawa jamaa. Kwahayo maelezo yako.

Unajua mkuu kuna ILLUMINATI NA FREEMASONS ni mara mia Freemasons kuliko Illuminati. Unajua siku hizi kuwa kuna mnatetemeko ya kutengenezwa?, Unajua kuwa kuna vita ya tatu ya dunia na sasa imeanza maandalizi yake?, unajua kuwa kuna new world order inakuja?, unajua kuwa kuna mpango wa kuwapunguza wanadamu duniani kote hadi bilioni moja tu? ili ukoloni uanze tena?:twitch:
 

hilo la kupunguza watu ni bora waanzie tanzania watuuwe wote. maisha gani haya tunaishi watz, tunaibiwa, dhuluma, udhalimu, serikali gani hii!? laana tupu.
 

we ndo kwanza unachanganya habari, acha mambo ya kufikirika uishi kwa amani,
 
Mimi mwenyewe ni freemason nitawapa email yangu ili niwape siri zetu zote
 
tembelea jukwaa la jamii intelligence, humo freemasons wamejadiliwa na wanaendelea kujadiliwa. Angalia topic ya freemasons: Inside, Out.
 
Niliwahi kusikia fisadi nyan.... Naye ni member au majungu ya watz?
 
khaaa!
Halafu mnakutanaga nyuma ya kempisk eeh?

never joke with these fellows. so far wameshapika matukio mengi sn duniani yanayokuja kama natural disasterz, lkn yanakuwa yamekuwa engineered na hawa jamaa. Some brodas wont believe when i say that the well-known TSUNAMI was a praised perfomance by the said group.
 
hii mada kuna mtu alisha ifafanua kwa undani zaidi.jaribu ku-search kwenye archive utakuta kila kitu.

Post kama hii haina tija JF, watu badilikeni, si kila mtu kaingia humu wakati JF inaanzishwa. Sasa mtego wa noti kwa maneno ya kiutu uzima umemsaidia nini Mazunguse? Umeharibu hata mtiririko wa wachngiaji kwa ujinga wako. Kama huna cha ku-comment hama jukwaa, maana wapo wenzio wenye kupenda hata kuianzisha upya maana haikatazwi na wao wanapenda. Unajua search ya JF isivyoleta majibu haraka kama ambavyo ungejibu kama unajua. So hii habari ya " topic imeshajadiliwa " ulijadili wewe sio sisi..................
 
Mimi mwenyewe ni freemason nitawapa email yangu ili niwape siri zetu zote

afadhari utusaidie maana watu wanatapatapa, wengine wanajifanya wanajua kumbe hawajui kitu na wengi wameshaanza kujisalisha sara ya toba, kazi kwelikweli................
 
kizazi chochote kilichoikana dini yake ya asili na kuitukuza dini yoyote ambayo ni ngeni na ambayo haina connection kabisa na mila na desturi zake basi huyo amekuwa brainwashed. wapi mnasimama wa-kristo na waislam wa kitanzania? you are all brainwashed and the system will continue brainwshing you mpaka hapo mtakapozikana imani z hawa jamaa especially kutoka mashariki ya kati(uislam na ukisto) na kurudi katika imani zenu ambzo Mungu aliwapeni, kwani mtajitambua nyie ni nani na mtakuwa na kingdom yenu iliyotukuka.
 
hakuna cha freemasons kushusha uchumi! PESA za EPA, DOWANS, RADA, N.k wamechukua Freemasons?! acha vitu vya kusadikika! acheni wizi, fanya kazi kwa bidii, kuweni wabunifu uchumi utapaa! acheni pumba! Tuna university of DSM tangu waanze kufundisha mechanical Engineering, wamewahi ata kuunda gari? au nifahamisheni kitu gani cha maana wamefanya? ni wengi wa namna hiyo! then mnasema freemasons! huo moto unaozungumza umewahi kuuona?
 
Tawala zote za kidunia kwa maana ya serikali za kisekula zikishirikiana na madhehebu yote ya kidini ktk muungano usio halali ni washiriki wa freemason ama kwa maneno mengine unaweza ita babilonian system.
Yesu anaehubiriwa na madhehebu mengi unayoyaona ni wa kuchakachuliwa na pasipo kuwa mnafiki utagundua kwamba sii habari njema za ufalme wa Mungu zinazohubiriwa bali ni jitihada za baadhi ya watu kujikwamua kiuchumi. Fikara zao na mawazo yao yamezama kabisa katika kuuhubiri utajiri na hata kuuabudu. Katika sherehe zao wanatafuta ni kiongozi yupi wa kisiasa ama tajiri yupi mkubwa watamwalika kama mgeni wa heshima ili wamfaidi kimapato. Uchakachuaji umekuwepo kiasi kwamba huwezi kumtenganisha mmoja kwa mwingine yaani watawala na wakuu wa kidini, siasa na dini.
Ukichunguza katika vitabu vyao utakuta kundi hili linalojulikana kama illuminate ni kundi la kisiri ndani ya kundi jingine la kisiri freemason. Na wamekuwa hata kwa kiwango kikubwa hawatambuani. In short ni long story inayohitaji mchanganuo wa umakini na kina.
.
 
Haya mambo yanaumiza kichwa........watz tuna m,ambo mengi sana vichwani mwetu na hakuna lililoisha,,,,richmond, epa, kagoda, meremeta, deep green, sijui na vijitu gani huko mbele.......
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…