Kijana unachekesha kwelikweli, unahangaika kupambana na adui wa nje kulikoni kumuangalia adui aliyeko ndani yako wewe mwenyewe kama binadamu. Huwezi kuijua freemason mpaka kwanza uwe ndani ya freemason hicho ni cha kwanza na muhimu sana. Tusitafute mchawi wa matatizo yetu tanzania kwa kusingizia freemason au shetani. Viongozi wa dini (waislam kwa wakristo) wako kwenye madawa ya kulevya kuharibu vijana wetu, jibu freemason, ajali sababu ya uzembe wa kipumbafu - freemason, ufisadi wa kishenzi - freemason, utapeli, ubovu wa miundombinu, madereva wabovu, n.k. yote haya ni freemason kweli?