Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
mkubwa wao ni Sir Andy Chande muhindi tycoon tokea enzi za Kambarage,na wengine ndio hao wenye maghorofa na vituo vya utangazaji maarufu hapa bongo
 
Tofauti ya imani yao ni hawaamini katika yesu wala muhamad na mungu unayemjua wewe wao wako na mungu kwenye matendo na wako na kitabu chao na mambo mengi siwez maliza.
Ila faida yao wako na pesa ukiamini kwa imani yao utatoa kafara na utakuwa na pesa.
Nahic uliwah kuckia ukimuua mama/baba au unaempenda unapata utajir ilikuwa unapata utajiri tangu enz hiz hii ilikuwa ni freemasons.
 
Nenda morogoro mjini kisha fanya uchunguzi kisha nipe jibu tembelea gest house najua moro ziko nyingi ila tafuta zile kubwa na maarufu then omba kupanga chumba namba tisa.jibu watakalokupa nambie kisha anzia hapo kuchunguza.usipende kumezeshawa do it.
 
Yapo ndo ukweli kwamba kama unataka kuwa na pesa nyng na uweza kupata mikopo na uwe na iman ya kipesa kuwa freemasons.
Tht why unasikia mnj,mng etc
 
Uko tayari kuwa freemasons?
Nambie kama uko tayari nikuelekeze kituo baada ya kukamilisha mashart.
 
<br /> <br / MBONA HUJAJIBU MASWALI YANGU??nijibu bana
 
Ni kuishika imani yako kwa dhati.
Lakini ukisoma sana dini nirahic sana kuwa freemasons.
Pia kutotumia vitu vyenye alama zao kwani ni invitation symbolz.
 
Anaweza kulaeta madhara ikiwa ni pamoja na nembo zao kutumika yaani mungu wao kuwa kwenye nyumba yenu.
Na pia kutoka kwa mimba,kufa kwa watoto au ndugu kwny familia.
Pia kumbk unaweza kuwa freemason bila kujijua kwa kula au kutumia vifaa vyao.
 
Samahani pia unajua niulizwa maswali mengi kwa wakati so naomba uliza tena nitakujibu tafadhali
 
Ukitumia symbols zao bila kujijua mbona unang'ang'aniwa utafikiri umelipia had hada ya kujiunga?
 
Kijana unachekesha kwelikweli, unahangaika kupambana na adui wa nje kulikoni kumuangalia adui aliyeko ndani yako wewe mwenyewe kama binadamu. Huwezi kuijua freemason mpaka kwanza uwe ndani ya freemason hicho ni cha kwanza na muhimu sana. Tusitafute mchawi wa matatizo yetu tanzania kwa kusingizia freemason au shetani. Viongozi wa dini (waislam kwa wakristo) wako kwenye madawa ya kulevya kuharibu vijana wetu, jibu freemason, ajali sababu ya uzembe wa kipumbafu - freemason, ufisadi wa kishenzi - freemason, utapeli, ubovu wa miundombinu, madereva wabovu, n.k. yote haya ni freemason kweli?
 
Humu humu Jf wamejaa kibao,kila tukijaribu kuwafunua wao wanatetea,ina udhi sana.Wana tetea ushenzi,ovyoo.
 
Ebu nitumie invitation kaka maana mi nawajua sana tena sana ila sikuwa najua namna ya kuiunga... Nina alama zao kibao na ninafaham formula zao nyingi japo si zote, wana namba zao.
Ila kuna fununu mkuu kuwa Mzee wa Upako yuko ndani na viongozi wengine wa dini bongo
 
&lt;br /&gt; &lt;br / ungetaja na hizo club 3 ungekua umesaidia watanzania wengi.
 
Ndugu yangu hapo juu unayesema una shida na freemasons.
Angalia jamaa wana masharti makali mno.
Je uko tayari kumtoa mamako au yeyote umpendaye kafara?
Je uko tayari kufir.wa mf.yule jamaa mmiliki wa vifaa vya kielektroniki vya siemens?
 
Jamani ajali zinasababishwa na uzembe wa madereva na ubovu wa mioundombinu, msitafute mchawi!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…