Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Mkuu nakubaliana nawe mengi ni uzembe then tunasema mapenzi ya Mungu au Kafara etc kwani hata huu mswada wa kununua Meli , Ndege na Engine za treni chakavu nao tutasema ni freemanson wako nyuma yake ili ajali ziwe nyingi wavune damu nyingi zaidi hapo siku za usoni. Mengine ni mawazo mgando tu yaliyotujaa
 

freemason sio dini, its an organization. Its a secret society because kuna siri ambazo zinajulikana kwa wanachama tu. Its about brotherhood. Acha upotoshaji. Leta facts. Huzijui philosophy zake?
 
Nikujuze zaidi freemasons walikuwepo nchini siku nyingi ~
na kwa tanzania hekalu lao la kwanza [lodge]lilikuwepo mjini Arusha eneo la usa river kabla ya vita kuu ya pili ya dunia [WW2]ila baada ya vita hiyo jengo hilo lilikuwa limechakaa hivyo kulazimu kutafuta eneo jingine May be. Ndiyo wakatokea dar NB kuna namna nyingi za ku ji enroll. Ila most of the new comers may have to queue all their lives to see the LIGHT.na hakuna kujiunga tu kama vile chuo kwamba mwaka huu ukiwa first year basi mwakani lazima uwe second no Once you are apprentice expect the tons of challenges to face so unaweza usipande daraja [digrees]bila kujua sababu for unakuwa well controlled na mtu usiyemjua ni wale tu walio kwenye 33rd digree ndiyo wanao jua kwa uhakika what goes on behind the carpet na si rahisi ku specify mambo yao inc simbols,rituals,members etc kwa hakika hakuna mmoja wetu asiye member wa daraja la juu kabisa anaye jua nini kinafayika kwenye hizo tunazoambiwa ibada,kafara nk kuna mengi mazuri ya kuwa mmoja wao mf humanity ,charity. Nk ila kuna mengi mno tusiyo yajua. Hasa kutokana na dhana nzima ya secret society na pia ni vigumu sana kwa mtu anayetaka kuji enroll kwa sababu ya financial criteria sababu tayari utakuwa huaminiki tzm ma members wengi ni watu mashuhuri mf marais mp`s wasanii maarufu nk sasa swali ni je walifikia huko wakiwa tayari ni mason?ushahidi mwingi unajidhihirisha kuwa jibu ni hapana»we take good man and we make them better ]ndiyo mbiu yao so itabidi ujiulize who`s that good man?, for which criteria?most of them are very intelligent ,elimu nzuri,kazi nzuri,familia bora kabisa hivyo kwa vigezo hivi huwezi kuwa kwenye kundi la Chokambaya ile sana,sawa elimu unayo kazi unayo labda ni minister sasa huko kuna nini kizuri zaidi ila kuna hoja kwamba. Viongozi wengi kama si wote huwa inawalazimu au kulazimishwa kuingia humo na vipi kuhusu vitambulisho vya uraia vinavyokuja nasikia ni sehemu ya implements za hawa jamaa?Keep on praying• Na hili nalo tutashinda katika yeye atutiaye nguvu.
 
Ni kuishika imani yako kwa dhati.
Lakini ukisoma sana dini nirahic sana kuwa freemasons.
Pia kutotumia vitu vyenye alama zao kwani ni invitation symbolz.
Unazidi kutudanganya kaka ukisoma sana dini --- kivipi kaka kusoma huko naamini kutaendana na ukomavu wa imani yako so unataka kutuambia kuwa yule asiye soma sana dini ndiye muumini bora?to hell no Halafu tusitumie vitu vyenye alama zao~je unajua vitu vingapi vyenye alama zao? Na hata ukivijua unaamini kuwa utaweza kuviepuka?Nonsense ,usijidanganye kaka you can't run away from them since tayari wame hold almost every need of the human being hii ina maana kuwa usiende hospital sababu wao ndi waanzilishi wa tiba nyingi usitumie vitabu vya kuabudia mf BIBLIA, QURAN,kwakuwa wana donate sehemu kubwa ya utengenezaji wa vitabu hivi vlvl computer unayo tumia hapo ntakushauri ukaitupe maramoja kwani ni mali yao ka simu kangu haka nako nikadondoshe mtaroni?ooh hapana pana njia moja tu ya ushindi mwamini mwenyeezi mungu kwa ROHO NA KWELI .ndugu usiipotoshe imani ya wasiojua .ina maana wasipokee pesa kabisa?Kama mungu wetu ni MKUU hivyo. Alama ni nini. Kwake?
 
Anaweza kulaeta madhara ikiwa ni pamoja na nembo zao kutumika yaani mungu wao kuwa kwenye nyumba yenu.
Na pia kutoka kwa mimba,kufa kwa watoto au ndugu kwny familia.
Pia kumbk unaweza kuwa freemason bila kujijua kwa kula au kutumia vifaa vyao.
Mungu haishi kwenye nyumba zetu,zenu au zao,anaishi au ataishi kwenye roho yako,au yao,
Only if you`ll spare the place for it.MUNGU akupe mwanga.
 
shida gani mkuu?unajua mashart yao ni magumu?jamaa yangu aliambiwa amtoe mzazi wake kafara,utakubali?
Alikudanganya huyo. Alikwenda kwa mganga wa kienyeji ther`s
no such a thing kwa mtu kama huyo so said jamaa yako hawezi kushirikiswa kwenye mambo makuu kama hayo ya kafara bila ya kuwa deep in hahahahahahaaaaa alikutana na watoto wa mjini huyo. Hakukwambia walimtoa ngapi?
 
Well said kaka.
Huyu emma.one hana jipya zaidi ya ku-google au ku-search : ask.com! Eti 'Uulize chochote utakacho'! Huyu mleta thread amenikumbusha yule jamaa 'bwaxxlo' mwenye thread ya 'Mimi ni Atheist....'

Ukimbana anakimbia tehtehteh
 

ni kweli,kuna mambo ambayo tunayafanya katika maisha yetu ya kila siku ambayo yana uhusiano wa moja kwa moja na ufreemason,ila hatujui tu kwa mfano style za nywele tunazonyoa na kusuka kwa kina dada na kaka,matatoo,alama tofautitofauti kwenye matshirt n.k so kuwaepuka hawa jamaa ni mpaka uwaelewe vizuri mno..
 
Kitu ambacho ni kigumu sana au hakiwezekani
 
mi naomba maelezo zaidi na kama wana madhara kwa nchi intelijensia wanafanya kazi gani mpaka watu wa pembeni waibuke kusaidia usalama wa raia wao wako kimya bila kutoa msaada wa aina yoyote au hata kuwatangaza hadharani tujue imani yao kiuwazi kuliko kuendelea na mambo yao kimya kimya ndani ya nchi ya watu wapole.
 
Ni kweli kaka hapa Moshi kuna Freemasons wengi wahindi ndio wengi. Freemasons wengi hapa Moshi ni Wahindi.

Ulithibitishaje kuwa hao uliowaona [sijui wahindi] ni masons au kwa kuwa hawatumii tasbihi kama yako kwa vile ni matajiri?umesema wapo wengi je una idadi angalau roughly? au umeona tu usikae kimya.nachukia sana uongo wa makusudi.
 
freemason sio dini, its an organization. Its a secret society because kuna siri ambazo zinajulikana kwa wanachama tu. Its about brotherhood. Acha upotoshaji. Leta facts. Huzijui philosophy zake?

A bunch of Mafias, nothing else.
 
mi naomba maelezo zaidi na kama wana madhara kwa nchi intelijensia wanafanya kazi gani mpaka watu wa pembeni waibuke kusaidia usalama wa raia wao wako kimya bila kutoa msaada wa aina yoyote au hata kuwatangaza hadharani tujue imani yao kiuwazi kuliko kuendelea na mambo yao kimya kimya ndani ya nchi ya watu wapole.
 
Umejuaje mkubwa kwani hawa jamaa ni wasiri sana.
Hakuna siri katika kuwa freemason, siri zilizopo ni siri za chama na sio siri za kujitangaza umember.
 
Organisation ya freemason imeingia tanzania baada ya ukoloni. Na sio watu wote waliopo katika taasisi hiyo ni matajiri, no! kuwa mwanachama hakuku saidii kuwa na pesa but inakusaidia jinsi ya kuyaweza maisha na kufanikiwa kimaisha katika nyanja mbalimbali hata za kidini. Thats why ili uwe mwanachama ni lazima umuamini God as a G.A.O.T.U!
 
Kuna tetesi kwamba hawa wanaume wanaovaa mikufu shingoni in freemason vilevile check pete wanazo vaa si bure wengi wanajifanya kutoa misaada
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…