Nikujuze zaidi freemasons walikuwepo nchini siku nyingi ~ na kwa tanzania hekalu lao la kwanza [lodge]lilikuwepo mjini Arusha eneo la usa river kabla ya vita kuu ya pili ya dunia [WW2]ila baada ya vita hiyo jengo hilo lilikuwa limechakaa hivyo kulazimu kutafuta eneo jingine May be. Ndiyo wakatokea dar NB kuna namna nyingi za ku ji enroll. Ila most of the new comers may have to queue all their lives to see the LIGHT.na hakuna kujiunga tu kama vile chuo kwamba mwaka huu ukiwa first year basi mwakani lazima uwe second no Once you are apprentice expect the tons of challenges to face so unaweza usipande daraja [digrees]bila kujua sababu for unakuwa well controlled na mtu usiyemjua ni wale tu walio kwenye 33rd digree ndiyo wanao jua kwa uhakika what goes on behind the carpet na si rahisi ku specify mambo yao inc simbols,rituals,members etc kwa hakika hakuna mmoja wetu asiye member wa daraja la juu kabisa anaye jua nini kinafayika kwenye hizo tunazoambiwa ibada,kafara nk kuna mengi mazuri ya kuwa mmoja wao mf humanity ,charity. Nk ila kuna mengi mno tusiyo yajua. Hasa kutokana na dhana nzima ya secret society na pia ni vigumu sana kwa mtu anayetaka kuji enroll kwa sababu ya financial criteria sababu tayari utakuwa huaminiki tzm ma members wengi ni watu mashuhuri mf marais mp`s wasanii maarufu nk sasa swali ni je walifikia huko wakiwa tayari ni mason?ushahidi mwingi unajidhihirisha kuwa jibu ni hapana»we take good man and we make them better ]ndiyo mbiu yao so itabidi ujiulize who`s that good man?, for which criteria?most of them are very intelligent ,elimu nzuri,kazi nzuri,familia bora kabisa hivyo kwa vigezo hivi huwezi kuwa kwenye kundi la Chokambaya ile sana,sawa elimu unayo kazi unayo labda ni minister sasa huko kuna nini kizuri zaidi ila kuna hoja kwamba. Viongozi wengi kama si wote huwa inawalazimu au kulazimishwa kuingia humo na vipi kuhusu vitambulisho vya uraia vinavyokuja nasikia ni sehemu ya implements za hawa jamaa?Keep on praying Na hili nalo tutashinda katika yeye atutiaye nguvu.