Jambo watu siolijua ni kuwa haya mambo ni mapana sana,freemason ni chama cha siri kilicho ndani ya Illuminati,sawa sawa na lions club,bilbegers,skull and bones n.k,kila chama kina kazi yake,mfano skull and bones kazi yake ni kuhakikisha marais wote hasa Marekani wanatoka ndani ya Illuminati,marais wote wa Marekani ni wanachama wa Illuminati,kuanzia George Washingoton mpaka Barak Obama,kuna marais wawili tu ndo haijulikani kama walikua wanachama ama la,marais hao ni Abraham Lincoln na John F Kennedy.Illuminati taratibu zao ni za mtindo wa Babeli,na familia ya kifalme ya Uingereza na Marekani blood line inayotoka kwenye familia 13 zinazounda Illuminati,na familia hizi ukizitrace zinaenda mpaka kwa Farao na mwishowe Babeli na hatimae Nimrodi!So kile kilichotokea Babeli ndo kinachotokea leo,na ndio maana Mungu akasema dunia itaongozwa na mnyama wa namba 666,hii namba asili yake ni miungu 36 iliyokua inaabudiwa Babeli,unaweza kuipata namba 666 kwa kujumlisha miungu yote 36 kwa mtindo huu,1+2+3+4+5+6+7...,.Mpaka 36!