Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.

Ni nini makusudi yako katika kuelezea habari za freemason???
 

Tutajuaje kama na wewe sio wale wale?
 
Nauliza je ni kweli wee ni mchawi maarufu na mfuga majini mpaka unaogopekag huko unakoishi
 
hizo ni lines katika ngoma ya fid q ft Juma nature inaitwa siri ya mtungi

Teh teh !!! Kweli nimepatikana hata ukinambia wimbo wa mwisho wa Diamond unaitwaje sjui coz habar za bongofleva sjui dance n.k nishatoaga kabisa ushabiki..
 
Kaka niko mkoani
naomba kujua jinsi ya kujiunga,
pia masharti ya kujiunga.
 
munamuonea bure jamani mtoto wa watu ndiyo kamaliza F4 juzi tu, kafanikiwa kupata kimchina cha dingi alchokitupaga kwenye droo ndo anakitumia kujaribu kama kinaweza ku post Jf,in short ni kuwa hajui lolote kuhusu hayo mambo,na yeye mwenyewe aliskiaga tu kwenye kisimu cha rafiki yake chenye clip flani ya kanumba inayodanganya kuhusu hizo mambo.
 




kwi kwi kwi kwi teh! Teh! Teh! Mamaaaaaaa mbavu zanguuuuu!
 
Mbona kama umeshasepa kiaina hivi?
Mcheza Karate, ni kweli ajali ya emvi spaisi ninyi ndio wahusika? Kwa nini?
 
Last edited by a moderator:
Mbona hueleweki wewe?

Ushasema sir andy chande hamumjui kabisaaaa,,sasa hapo hapo tena unasema lakini.haukatai kwani mwaka 2010-2012

alishawahi kusimamia moja ya majengo yenu,,umeanza kukikanyaga.mapema sana nna wasiwasi hufahamu chochote juu ya hiyo (secret society),,
wajenzi huru ama
freemason
 

Majengo yenu mmetoa wapi nyie njaa tupu,

All of you, you are property of lucifer and you shall accompany him to the Hell fire cause you sell your souls to him just for world treasures and you shall spend eternity in hell fire if you will not repent and leave your wickedness and surrender you life to JESUS CHRIST.
 

Baba mdogo anamkana baba mkubwa
afu cha kustaajabisha baba mkubwa anajua kuieleza kuliko hata huyo baba mdogo
kuna siku alifunguka Clouds tv mwanzo mwisho
nimekubali kuwa jini maimuna linamkana jina makata!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…