Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
"Walijivisha u-know-how safina zao zikatoboka,wakijivisha u-mussa fimbo zao hazikugeuka nyoka,sasa wanajaribu u-mungu mtu wanaamua nani atatoka?"
endelea kidogo sjakupa mkuu!!!
Kila mmoja wao
amekuwa akieleza namna anavyojua kuhusu FREEMASON.
Kuanzia MEDIAs, magazeti, na hata mtu mmoja mmoja.
Vile vile kumejitokeza watu ambao wamebuni na kuanzisha
mitandao(website) wakizifanya eti ni official website ya FREEMASON.
Huwa naishia kucheka tu, ILA LEO NI FURSA PEKEE YA WATANZANIA WOTE
KUIFAHAMU FREEMASON.
Kabla sijaenda mbali kuna bwana mmoja alijitambulisha kama sir Andy
Chande, ni kiongozi wa Freemason East and central Africa,
Leo mjue ukweli, japo mimi si msemaji, lakini huyo bwana
hatumjui na hakuna cheo kama alichojitambulisha nacho.
nijuavyo Father Damian Irungu ndiye kiongozi wa master/gland lodge zote
za kenya na ndiye anasimamia za Goma, Moshi, na Entebe. ila sikatai Sir
Chande kuwa januari 2010-2012 amewahi kusimamia michango ya moja ya
"nyumba zetu".
Na kama atatokea hadharani kubisha ukweli huu, nami nipo tayari
kujitokeza tukakaa mezani tukahojiana ukweli.
Nakaribisha maswali nami nitajibu kwa wepesi kadri niwezavyo.
karibu
"mungu pamoja nasi",
Kila mmoja wao amekuwa akieleza namna anavyojua kuhusu FREEMASON.
Kuanzia MEDIAs, magazeti, na hata mtu mmoja mmoja.
Vile vile kumejitokeza watu ambao wamebuni na kuanzisha mitandao(website) wakizifanya eti ni official website ya FREEMASON.
Huwa naishia kucheka tu, ILA LEO NI FURSA PEKEE YA WATANZANIA WOTE KUIFAHAMU FREEMASON.
Kabla sijaenda mbali kuna bwana mmoja alijitambulisha kama sir Andy Chande, ni kiongozi wa Freemason East and central Africa,
Leo mjue ukweli, japo mimi si msemaji, lakini huyo bwana hatumjui na hakuna cheo kama alichojitambulisha nacho.
nijuavyo Father Damian Irungu ndiye kiongozi wa master/gland lodge zote za kenya na ndiye anasimamia za Goma, Moshi, na Entebe. ila sikatai Sir Chande kuwa januari 2010-2012 amewahi kusimamia michango ya moja ya "nyumba zetu".
Na kama atatokea hadharani kubisha ukweli huu, nami nipo tayari kujitokeza tukakaa mezani tukahojiana ukweli.
Nakaribisha maswali nami nitajibu kwa wepesi kadri niwezavyo.
karibu
"mungu pamoja nasi",
hizo ni lines katika ngoma ya fid q ft Juma nature inaitwa siri ya mtungi
endelea kidogo sjakupa mkuu!!!
Huyu kama yule jamaa mwenye GX 100 wa ubungo akimaliza porojo zake anafungua mkoba wa kuuzia dawa.Ni nini makusudi yako katika kuelezea habari za freemason???
munamuonea bure jamani mtoto wa watu ndiyo kamaliza F4 juzi tu, kafanikiwa kupata kimchina cha dingi alchokitupaga kwenye droo ndo anakitumia kujaribu kama kinaweza ku post Jf,in short ni kuwa hajui lolote kuhusu hayo mambo,na yeye mwenyewe aliskiaga tu kwenye kisimu cha rafiki yake chenye clip flani ya kanumba inayodanganya kuhusu hizo mambo.
Kila mmoja wao amekuwa akieleza namna anavyojua kuhusu FREEMASON.
Kuanzia MEDIAs, magazeti, na hata mtu mmoja mmoja.
Vile vile kumejitokeza watu ambao wamebuni na kuanzisha mitandao(website) wakizifanya eti ni official website ya FREEMASON.
Huwa naishia kucheka tu, ILA LEO NI FURSA PEKEE YA WATANZANIA WOTE KUIFAHAMU FREEMASON.
Kabla sijaenda mbali kuna bwana mmoja alijitambulisha kama sir Andy Chande, ni kiongozi wa Freemason East and central Africa,
Leo mjue ukweli, japo mimi si msemaji, lakini huyo bwana hatumjui na hakuna cheo kama alichojitambulisha nacho.
nijuavyo Father Damian Irungu ndiye kiongozi wa master/gland lodge zote za kenya na ndiye anasimamia za Goma, Moshi, na Entebe. ila sikatai Sir Chande kuwa januari 2010-2012 amewahi kusimamia michango ya moja ya "nyumba zetu".
Na kama atatokea hadharani kubisha ukweli huu, nami nipo tayari kujitokeza tukakaa mezani tukahojiana ukweli.
Nakaribisha maswali nami nitajibu kwa wepesi kadri niwezavyo.
karibu
"mungu pamoja nasi",
Mbona hueleweki wewe?
Ushasema sir andy chande hamumjui kabisaaaa,,sasa hapo hapo tena unasema lakini.haukatai kwani mwaka 2010-2012
alishawahi kusimamia moja ya majengo yenu,,umeanza kukikanyaga.mapema sana nna wasiwasi hufahamu chochote juu ya hiyo (secret society),,
wajenzi huru ama
freemason