Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
nembo ya Tanzania ikiwa na mwenge juu, tuangalie hio picha ya mason chini pia
 

Attachments

  • 1449270800286.jpg
    25.7 KB · Views: 781
wew richard12 kama unataka kujiunga tembelea website yao utapata info zote.. but m sikushauri kujiunga nao & kwanza soma taratibu na kanuni zao
 
NINGEPENDA UFAFANUE VIZURI KUHUSU HAO MASHIA NA AGHA KHAN MKUU
 
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.

Kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie.

1.Freemason ni nini?
2.Wanapatikana wapi?
3.Jinsi ya kujiunga na imani hii
4.Je hapa tanzania imani hii ipo?
5.Freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii
 

Wapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason inside- out" kwenye jukwaa la Intellegence soma hapo itakusaisia kuelewa
 
asante mkuu
 
Kabla ya kujiunga na kitu chochote ni vema ukajua faida na hasara zake
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…