Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
1449270812248.jpgnembo ya Tanzania ikiwa na mwenge juu, tuangalie hio picha ya mason chini pia
 

Attachments

  • 1449270800286.jpg
    1449270800286.jpg
    25.7 KB · Views: 781
wew richard12 kama unataka kujiunga tembelea website yao utapata info zote.. but m sikushauri kujiunga nao & kwanza soma taratibu na kanuni zao
 
unapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?

jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu

soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao

ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao
NINGEPENDA UFAFANUE VIZURI KUHUSU HAO MASHIA NA AGHA KHAN MKUU
 
Kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.

Kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie.

1.Freemason ni nini?
2.Wanapatikana wapi?
3.Jinsi ya kujiunga na imani hii
4.Je hapa tanzania imani hii ipo?
5.Freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii
 
kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie
1,freemason ni nini?
2,wanapatikana wapi?
3,jinsi ya kujiunga na imani hii
4,je hapa tanzania imani hii ipo?
5,freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii

Wapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason inside- out" kwenye jukwaa la Intellegence soma hapo itakusaisia kuelewa
 
Wapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason in and out" soma hapo itakusaisia kuelewa
asante mkuu
 
Kabla ya kujiunga na kitu chochote ni vema ukajua faida na hasara zake
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom