Lizarazu
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 6,333
- 7,879
Jaman kuna anaweza niunganisha Freemason nicheki richardsamson81@gmail.com
hivi mkuu na wewe uko serious kama mimi au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jaman kuna anaweza niunganisha Freemason nicheki richardsamson81@gmail.com
Nani amekwambia Freemason ni shetani?
Unao ushahidi wa hilo?
Acheni kukariri
Bila shaka na wewe nimmoja wao maana unabisha uhalisia Freemasonry is the devil in details wewe ni member ukibisha nakuumbua
Mansory is just a brotherhood chief
Acheni kudanganyana
Pole...Tafuta kujua zaidi kuliko kulishwa manenoHakuna cha brotherhood chief niushetani mtupu makafara mnayotoa hayo ndio brotherhood
Pole...Tafuta kujua zaidi kuliko kulishwa maneno
Nipe mfano mmoja wa ushetani ulioko kwa freemason?
NINGEPENDA UFAFANUE VIZURI KUHUSU HAO MASHIA NA AGHA KHAN MKUUunapojiunga na chuo ukimaliza unapewa degree ya kwanza , unasomea ya pili and so on -- ina mahusiano na freemasony sio ?
jamani freemason sio watu wabaya kama wengi wanavyofikiri ni cool people sema tu wana sheria na mambo yao wanayafuata ambayo mtu wa kawaida ni ngumu sana kuyatambua kwa sababu yanafanyika kwa njia ambazo sio za kawaida sio za kibinaadamu
soma kitabu kinaitwa GREATEST WORLD SECRETS utaelewa zaidi kuhusu watu hawa na jumuiya zao
ni sawa na wale AGHA KHAN , waisilamu wa madhehebu ya SHIA , wakatoliki anglicana na so on sema freemasony sio wa wazi katika mambo yao
kwa miaka mingi nimekuwa nikisikia hii imani ya freemasson,na baadhi ya watu kuhusishwa nayo.kwa mwenye uelewa kidogo na imani hii naomba atufafanulie
1,freemason ni nini?
2,wanapatikana wapi?
3,jinsi ya kujiunga na imani hii
4,je hapa tanzania imani hii ipo?
5,freemason ni dini au?
na mengine yanayoweza kutusaidia kuitambua imani hii
asante mkuuWapo, wanajengo lao Tz -Dar es salaam mitaa ya posta. unaweza kwenda pale kuulizia utaratibu wa ibada.
freemason ni mwana chama kimojawapo cha kusaidiana chenye utaratibu maalum wa siri.
k
pia kuna thread ipo hapa Jf "freemason in and out" soma hapo itakusaisia kuelewa
me nataka kujiunga ila kwanza nataka kujua faida zake na hasara nsijekuwa nakalia kaa la moto..!Unatuhitaji? Fika ofisini kwetu