Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Ni jamii ovu sana aisee,there is nothing evil they cannot do.Hawa na vikundi vingine vya siri viovu kama Illuminati,Skull and Bones,Knights of Templar,Jesuits,
Knights of Columbus,Order of St. Hubertus,
Rosicrucians nk.,ndio
walioipindua Dunia upside down.
 
yaani aisee wanatengeneza dunia yao hatua kwa hatua na sasa wako karibu kila sehemu inayohusika na uzima wa dunia ya leo. Wakimshinda mwanadamu mwenzao (sisi) kitakachofuata ni vita na Mungu...

Kadri dunia leo tunavoelimika na majamboz yanavofichuka tumeanza kutambua... kabla ya hapo walitudanganya wakaviremba hadi wengine wetu kujiunga na vikundi hivi bila kujitambua wala kuvielewa
 
Uko sahihi kabisa mkuu,Kama wanadamu wengi tungepata ufahamu ulio nao,nadhani tunge-wamudu,mbona ni wachache sana.
 
Freemason na Illuminantni waanzilishi wa dini zote wameanzisha wao na ni lowest degree ambayo kila mtu lazuma ajiunge nazo ili wao waweze kuteka mawazo,fikra na mda
 
Please elaborate!
Kuna mwenzako kauoizwa juu huko .
Adamu alikuwa dini gani ?
Fuatilia kutoka huko.
Ukishindwa kuona anza na Yohana 10 then nenda 11 na kuendelea.
Pale makuhani na mafarisayo walivokuwa wanamtrack Yesu wammalize coz alikuwa anaharibu mishe zao na za serilikali ya Rumi.


Dini ilikuwa Ni Unyang'anyi tuh.
 
Umaskini ni donda Baya sana, chochote atakacho kifanya mtu tajiri kita husishwa na shetani!!...na hao Wachawi maskini wakisha jaribu kumkamata tajiri ili ashuke kiuchumi bila mafanikio basi watamwita mchawi tu!!....au free manson!

Lkn ni bora wajue kuwa weye ni free Mansons tena watangazie kabisa km una weza, ila kutangaza kwenyewe iwe km siri hivi,,,, watakuogopa mpaka basi!!...km ukitangaza waaazi sana watakuona weye muongo watakujaribu tu!
 
Boss it's time yako sasa watakutafuta ujiunge, uko top sana sasa.

Nachelea sana kusema freemasons hasa waanzilishi are those who read and understand Bible very well.
 
Boss it's time yako sasa watakutafuta ujiunge, uko top sana sasa.

Nachelea sana kusema freemasons hasa waanzilishi are those who read and understand Bible very well.
munakosa raha ya maisha wakati ipo sio devil wala nin.... ishi kula raha tumia ubongo wako 100% ""Live fucking good life""
 

Napata wapi hivi vitabu mkuu nisome vyote ndio nije ku comment hapa.. napenda kujua na kujifunza zaidi kuhusu hawa jamaa
 
nasikitishwa sana kuona matangazo mbali mbali ya freemason ambayo yanahamasisha watu kujiunga.

hiki kikundi kinamtafuta mtu na sio mtu kujiunga nao. lazima uwe vizuri katika jambo ama mambo fulani na uwe umekubalika kweli ndio wakufikirie!

binafsi nawakubali sana Knight Templars
 
Dah,Nights of Tempars!!??Ni an evil underground society tu kama zingine hakuna tofauti yeyote.Malengo yao kwa wanadamu ni yale yale:conquer,kill and enslave by any means possible.Their slogan is, "the end justfies the means."
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…