Actually Jamaa ameeleza kidogo kuhusu Hawa freemasonic ila naona hajaelezea kuhusu historia ya hawa watu tangu walipoanza hadi wakafika hapa na ni nini target yao na wanafanya hivi kwa sababu gani.
Kwa haraka haraka kulikuwa na kundi la Knight Templers ambalo limeundwa na mayahudi hawa waliwasaidia sana Crusades katika kuwaondoa waislamu Spain, wakatumik tena katika kuondoa utawala wa waislamu Jerusalem wakafanikiwa baada ya mda wakaondolewa tena na waislamu. kabla ya kufukuzwa na waislamu jeshi la crusade Jerusalem hili kundi liliacha mafundisho ya biblia baada ya kufanikiwa kupata vitabu vilivyofukiwa na Nabii Suleiman (A.S), wakafuata mafundisho ya uchawi na ukaumuluti. baada ya kujulikana na viongozi wa dini hawa jamaa walikamatwa na baadhi yao wakafanikiwa kukmbia. Hawa jamaa wakakimbilia Scotland wakati huo Mfalme wa Scotland amezidiwa nguvu na utawala wa Malkia wa uingereza. Mfalme wa Scot wakawachukua na kuwatumia na wakafanikiwa, kwahiyo wakapata sehemu ni huru kwao kufanya mambo yao wakati huo huo walifanikiwa kumueka mkononi mfalme wa scot, baada mda Malkia elizabeth wakwanza akafariki na pakakosekana mtawala na Mfalme wa Scotland akatawala yeye na ndio ikawa mwanzo wa kuzaliwa UK.
Kwahiyo UK ndio ikawa ya kwanza kuwa chini yao ila hawakuwa na kiongozi anetoka ndani ya kundi lao. Baada Ya mda ndio wakajibadilisha jina na kujiita Freemason. Ila bado hawa jamaa walikuwa wanataka nchi ambayo watakuwa na full control, na France ndio ikawa katika radar yao. Theluthi tatu ya wananchi walikuwa masikini na matajiri walikuwa wachache hamaki zikapanda kwa wananchi na jamaa wakafanikiwa kusambaza propaganda na mapinduzi yakafanyika. Ila bado mtawala hakuwa wa kwao na jeshi la ulaya crusade wakapata habari kuwepo kwa hawa jamaa, kwahiyo wakakimbia bara ulaya na kwenda America.
Kama kawaida yao wakafanya vile vile walivyofanya ufaransa ila mara hii walihakikisha kiongozi anakuwa yahudi na ni member wa freemason ambae hakuwa mwengine zaidi ya George Washington na pesa yao ya mwanzo walimueka yeye na alama yao.
Ila yote haya ilikuwa ni kutayarisha mpango wao kupata ardhi ya kule jerusalem. Taifa la marekani likakuwa na wakashiriki katika mapinduzi yote yalofanyika bara ulaya na wakakaa viongozi waliotaka wao akiwemo Hitler.
Jinsi gani wataipata ardhi ya Jerusalem wakati iko chini ya utawala wa kiislamu na washaribu kuvamia wakiwa bado wako uingereza na wakashindwa. Njia rahisi ni kumtumia Hitler, hitler akafanikiwa kufanya kazi yao na mayahudi wakaonewa huruma mno. marekani na uingereza wakapendekeza mayahudi wapelekwe Jerusalem baada ya mda wakatoa baadhi ya majeshi na kuwapeleka huko na kuitawala jerusalem. lengo lao ni kuipata Jerusalem.
Ila jiulize kwanini Jerusalem, kuna nini Jerusalem na kwanini wanailinda mno Jerusalem mtu yeyote akiipinga anapindulia. Turudi kwenye dola moja, kuna alama ya pyramid ila kipande cha juu kina jicho moja ila bado liko hewani, ile alama inaonyesha ujio wa kitu fulani ila bado haijafika.
Sisi waislamu tunasema kuwa atakuja mtu moja na atakuwa na jicho moja, atatawala dunia, atawapoteza watu na kuwafanya wasahau muumba wao, ataipeleka dunia katika njaa. Na huyo si mwengine ni masihi dajjal, kwa wakristo wanamuita anti-crist .
Sasa huyo ndio wanaemsubiri na ndie wanaemuabudu na wanatayrisha ujio wake, na atatokea kule kule alipotokea Nabii Issa (A.S) (Yesu) nchini israel. Kwahiyo wanataka akija huyu mungu wao akute mambo tayari yeye anakuja kutawala tu.
Kuna suali linakuja How Israel state survived till now? Next article infuatia