Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Hii ni thread ambayo tangu ianze haijawahi kukaa bila wageni wanaoisoma! Inashangaza...
 
ni rahisi sana kusema ila ni vigumu, hao watu wamo ndani ya dini zetu tena ni viongozi wa dini, Ask your self ndani ya uislamu hamna mafundisho wala historia inayoonyesha kuwa watu wanaenda kujitoa muhanga na kuwauwa watu wasio na hatia.Mtuma (S.A.W) wakati wake hakujawahi kusikia mtu anatoka na kwenda mtaani akiua makafiri wa makka kama sio kwenye mpigano. Mtume (S.A.W) alikuwa akiwasihi watu wake wasije wakawgusa watoto wala wanawake wakienda kwenye vita wala mti wasiuguse lakini angalia wanaojiripua wanaua watoto na wanawake na nafsi yake anaiua ambapo kisheria ni dhambi na anaingia motoni.These people wanawafundisha watu mafundisho ya uongo. Hawa watu wameweza kubadilisha maandiko ya dini zote ila ya waislamu wameshindwa ila wameweza kutengeneza wahuni wanaojiita magaidi kwa kuwapa fatwa za uongo na kufanya uislamu ni dini fujo na ni dini ya kumwaga damu.

MABADILIKO YA DINI ZOTE...mfano na nani??
Acha udini na itikad za kijinga!!!
 
It is so scaring,for this idears about free masonry, i think Ronaldinho Gaucho is one of them,this is because when he was playing for AC Milan he always showed horn sign by fingers whenever he scored a goal,May God help us and protect us from these obscene sect
 
TAMBUA KUWA BUNGE LA KWANZA LA NCHI HII NI MASONIC HALL,Ambapo spika alikuwa Br William Erick Halstead Surpham from Nov 1, 1953 to April 30,1958. hivyo mikataba ilipoingiwa hapo hakuna ajuaye?tafakari!
 
Watu wanapenda sana conspiracy theory. Tofauti ya Freemasons na say, Roman Catholics, ni nini?
 
..nimekukubali mzee nimepata elimu kidogo kuhusu hawa mabazazi unajua sheikh yahaya ktk prog yake ya jumatatu ktk chanel 10 anawadanganya watu kinoma maana kila kitu kwake kina alama ya mashetani na freemansons...
hilo jina uliloita.... sio sawa kabisa. what are the evil of g freemasons? Stop being blindminded
 
freemason-ani.gif
CanularDeTaxil.jpg
Hii ndiyo main Sign naweza sema. Angalia ina hivi: Mwenge... Nyoka... Mwezi... Angalia miguu... Angalia pembe... Angalia tumboni... Angalia kila sehemu. Kuna issue zaidi... Endelea kuperuzi
Baphomet sio symbol ya freemason. Tatizo watu mnafananisha freemason and Satanism aliyoanzisha Anton LaVey. Ure Anti-Freemason, Ant-freemason started since 1780´s mpaka leo. If u want to judge freemason use it´s philosophy na sio kutimia maneno na claims za antifreemasons. Up sidedown star sio symbol ya freemason, hapo symbols ambazo ni zaukweli ni moon, and it have its meaning in freemason
 
Mimi ninakataa kuwa freemasons dont believe in god, tatizo tunaadhiriwa na maneno na claims za anti-freemasons. Kama kuna mtu mwenye ushaidi kwa kutumia real beliefs ya freemason ailete hapa (usitumia claims za anti-freemasons) mbona bones and skulls hamisemi mnabaki kuisema freemason?
 
Vipi mwanza ni maeneo gani wapo hawa jamaa? Hivi ukiwa na miaka 17 unaweza ukajiunga na hawa jamaa? Vipi ukiwa huna baba wala mama wa kumtoa kafara?
 
TUKATAE TUKUBALI UCHAWI UKO NA MAFRIMARSON WAKO NA WANAMWABUDU SHETWANI LUSIFA NA MATUKIO MENGI YA AJALI WANASABABISHA WAO KIKUBWA SISI TUSIO MAFRIMARSON TUZIDISHE MAOMBI NA UTII KWA MWENYEZ MUNGU NA TUACHE TAMAA za MALI NA PESA.

Nitajie ajali basi zinazotokea states Maana huko ndipo wasemavyo ni wengi

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Tanzania tumeshakumbwa na imani za freemasons na makao makuu yakd ni Kempisk hotel kwa nyuma,mikoa inayokuwa kwa speed kwa imani hii ni pamoja na Morogoro na Arusha ingawa na mwanza hawako nyuma.hebu chunguza kama nawe ni greater thinker then nambie kitu nikupe ukweli au uliza swali la freemasons i knw them.

Naamini kwa jinsi unavyoanza tu. Unachotafuta huku ni kupewa maneno ya umbea. Are you a brother? Have you get a GOAT?
 
Mleta mada,nna swali je mada yako uloileta inaendana na haya matukio ya sasa hivi???namaanisha majanga ya aja li hasa ya meli ya juzi???????

Inakupasa. Kumwelewa mwongo. Kwenye hatua zake za mwanzo the way he sounds ni wazi kuwa jana alishinda kijiweni so kwake ilikuwa very very strange story, though I know the matter exist but I don't trust the dude
 
Kuhusu ajali ndio ziko nyingi sana ambazo zinahusika kabisa.mfano mwisho wa mwaka ni lazima wauwe na hakuna jinsi coz kuna magari ya hospital ambazi zinahusika moja kwa moja na hili.
Kwa kifupi asilimia 60 za ajali za vyombo vya usafiri ni wao na kuna dalili kujua kuwa ajali ni ya freemasons.

So ile dhana ya uchawi wa kuruka na ungo kusababisha ajali,kuloga watu kuwanga.iliyokuwa ikivuma enzi hizoo sasa imefutika ni ,sasa ni freemasons at every party of your life ,don't be that clumsy sasa hata njaa itakuwa inasababishwa na masons wacheni kujipiga pingu za vichwa na masons myth
 
Ebu nitumie invitation kaka maana mi nawajua sana tena sana ila sikuwa najua namna ya kuiunga... Nina alama zao kibao na ninafaham formula zao nyingi japo si zote, wana namba zao.
Ila kuna fununu mkuu kuwa Mzee wa Upako yuko ndani na viongozi wengine wa dini bongo
Bwana noti I just wanna let you know something you don't know. Even those who are in,with higher ranks. Most of them bado hawaelewi mambo mengi kuna past threads nyingi sana zimejadiliwa humu kuhusu hao viumbe ungekuwa
mfuatiliaji usingethubutu kusema unafahamu mambo mengi about them wala usinge mwamini yeyote atakaye kuambia anajua kila kitu eti niulizeni. Kitu chochote!! Only fools can agree with you.
 
Kuhusu ajali ndio ziko nyingi sana ambazo zinahusika kabisa.mfano mwisho wa mwaka ni lazima wauwe na hakuna jinsi coz kuna magari ya hospital ambazi zinahusika moja kwa moja na hili.
Kwa kifupi asilimia 60 za ajali za vyombo vya usafiri ni wao na kuna dalili kujua kuwa ajali ni ya freemasons.

Vague!!!
 
Bwana noti I just wanna let you know something you don't know. Even those who are in,with higher ranks. Most of them bado hawaelewi mambo mengi kuna past threads nyingi sana zimejadiliwa humu kuhusu hao viumbe ungekuwa
mfuatiliaji usingethubutu kusema unafahamu mambo mengi about them wala usinge mwamini yeyote atakaye kuambia anajua kila kitu eti niulizeni. Kitu chochote!! Only fools can agree with you.


Well said kaka.
Huyu emma.one hana jipya zaidi ya ku-google au ku-search : ask.com! Eti 'Uulize chochote utakacho'! Huyu mleta thread amenikumbusha yule jamaa 'bwaxxlo' mwenye thread ya 'Mimi ni Atheist....'
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom