Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Freemasons Inside - Out: Who are they? How they operate? How to join them?

Status
Not open for further replies.
Napata wapi hivi vitabu mkuu nisome vyote ndio nije ku comment hapa.. napenda kujua na kujifunza zaidi kuhusu hawa jamaa
Screenshot_20221101-011321.png

Google utapata... Hiko ☝️ unasoma bure online na hiki 👇 unasoma bure

Screenshot_20221101-011541.png

Google utavisoma bure kabisa
Ila hiki 👇 cha kulipia

Screenshot_20221101-012352.png

Soma na hiki 👇 bure online
Screenshot_20221101-014935.png

Ukipata nafasi soma na hiki 👇
Screenshot_20221101-012954.png

Au ingia hapa pakua kitabu chochote cha Freemasons unachokitaka usome ni bure kabisa hulipii hata senti moja
👇

Kuna kitabu kimeandikwa Bible and The Square by Akerman in 1875
☝️
Anza na hicho

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasonry and Catholicism by M Heindel

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasons-What They Are by Mge De Segur

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Fundamental Philosophic Secrets Within Masonry by W Wilmhurst

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasonry and Its Jurisprudence by C L Patton

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Builders A Story and Study of Masonry by J F Newton

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Beginning of Masonry by F Higgins

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Digest of Masonic Law by Chase in 1863

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Hidden Life in Freemasonry by C. W. Leadbeater

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Harry Watson Or The Secrets of Freemasonry by H Henderson

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Greatest Thing Ever Known by R W Trine

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Great Light of Masonry by B Allen

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Craftsman and Freemasons Guide by C Moore

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
War of Anti-christ With The Church by Dillon in 1884

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Use and Abuse of Freemasonry by Smith in 1866

Ukimaliza hicho soma hivi kwa pamoja 👇
What Is Freemasonry (Clifford) by N F De Clifford

What Is Freemasonry (Howard) by Howard in 1958

Ukimaliza soma hivi kwa pamoja 👇
Origin of Freemasonry by G. T. Schultz in 1912
Origin of Freemasonry 1717 Theory Exploded by C Paton
Origin of Freemasonry and Knights Templar by J Bennett

Ukimaliza hivyo njoo u-comment
 
View attachment 2403499

Google utapata... Hiko ☝️ unasoma bure online na hiki 👇 unasoma bure

View attachment 2403500

Google utavisoma bure kabisa
Ila hiki 👇 cha kulipia

View attachment 2403504

Soma na hiki 👇 bure online
View attachment 2403507

Ukipata nafasi soma na hiki 👇View attachment 2403505

Au ingia hapa pakua kitabu chochote cha Freemasons unachokitaka usome ni bure kabisa hulipii hata senti moja
👇

Kuna kitabu kimeandikwa Bible and The Square by Akerman in 1875
☝️
Anza na hicho

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasonry and Catholicism by M Heindel

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasons-What They Are by Mge De Segur

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Fundamental Philosophic Secrets Within Masonry by W Wilmhurst

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Freemasonry and Its Jurisprudence by C L Patton

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Builders A Story and Study of Masonry by J F Newton

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Beginning of Masonry by F Higgins

Ukikimaliza hicho soma hiki 👇
Digest of Masonic Law by Chase in 1863

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Hidden Life in Freemasonry by C. W. Leadbeater

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Harry Watson Or The Secrets of Freemasonry by H Henderson

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Greatest Thing Ever Known by R W Trine

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Great Light of Masonry by B Allen

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Craftsman and Freemasons Guide by C Moore

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
War of Anti-christ With The Church by Dillon in 1884

Ukimaliza hicho soma hiki 👇
Use and Abuse of Freemasonry by Smith in 1866

Ukimaliza hicho soma hivi kwa pamoja 👇
What Is Freemasonry (Clifford) by N F De Clifford

What Is Freemasonry (Howard) by Howard in 1958

Ukimaliza soma hivi kwa pamoja 👇
Origin of Freemasonry by G. T. Schultz in 1912
Origin of Freemasonry 1717 Theory Exploded by C Paton
Origin of Freemasonry and Knights Templar by J Bennett

Ukimaliza hivyo njoo u-comment
Thanks, japo books and journals NI vingi Sana cjui Kama nitavimaliza
 
Unasoma Sana vitabu
Yap, hiko nimekisoma kinaelezea kuhusu The Secret of Solomon, jinsi alivyojenga Temple, ilimgharimu kiasi gani na alifanyafanyaje hadi akaweza, ilimchukua mda gani na mengineyo mengi, ni kitabu kinachokupa encouragement katika mambo yako nini ufanye ili ufanikiwe, pia kinawaelezea watu wengine km akina Julius Caesar, Alexander the Great, Queen of Sheba, Aristotle, Cecil Rhodes, na wengineo wengi tu

Na wewe soma, sasa hivi nasoma kingine cha Freemasonry & Judaism 👇

View attachment 2404166
Hiki apo 👆 Amazon NI Dola 5.3 wewe ulikinunua, au ulikisoma kwenye library
 
Hiki apo 👆 Amazon NI Dola 5.3 wewe ulikinunua, au ulikisoma kwenye library
Nasoma bure Online vipo tu uki-google unavipata unasoma online bure haulipii
Screenshot_20221101-192942.png

👇
Screenshot_20221101-193009.png

Ingia kwenye ile link hii 👇 pakua bure usome
 
Freemasonry ilianza kuwa katka ulimwengu 100Bc huko nyuma na (kabla ya kristo. Siri ambayo uijui nikuwa hapo zamani Nabii suleimani+ndo binadamu pekee ambaye alikuwa na utajiri mwingi hapa duniani na pia alikuwa anaongea na mwenyezi mungu moja kwa moja bila chenga.

🌍 Nabii Suleiman kutokana na utukufu wake mwenyezi mungu alimpa mamalaka ya kujenga jengo kubwa lakutunza zile amri kumi za mungu. Kama uzijuavyo.

Mwenyezi alimpatia nabii suleimani siri kubwa sana na ndani ya siri hiyo nikuwa kila binadamu angeweza kuijua angekuwa na maisha ambayo sio ya kawaida na kufanya mambo makubwa.

Kwasasa siri hiyo imedondoka kwenye mikono isiyo salama kwa #freemasons.
Hawa watu sio wazuri waowanajiitaa ni wajenzi Wa dunia. Ukianga watu wanao jiunga Freemason kwanini wanakuwa na Mali.nyingi pia wanaonekana sio watu Wa kawaida?

Na ilikuwaje Freemasonry wanapata siri hizo na wanaanza kuzitumia(nabii Suleiman alimpatia mkandalasi mmoja aliyeitwa(Abraham ili ajenge jengo Ilo lakutunza amri kumi za mungu akiwa anajenga jengo hilo LA ajabu(ndugu zake walitka kujua na kupata hiyo siri.

Kilichofuata waliamua kumuua ndugu yake Ibrahm ili wapate siri waweze kuitawala Dunia.

Walifanikiwa kumuua na hiyo siri ya ajabu, wakaichukua na kuanza kuitumia ndivyo sivyo
Ooooh dunia inamengi zaidi ngoja uyajuwe hayo tu.
 
Nadhani ni wakati mzuri juu ya hawa Masonic kuwa wawazi pengine wanaweza kua huru na kile wakifanyacho, karibu asilimia 90 pengine ya maisha ya binadamu wa leo ni yamepangwa,... hakuna tena Muujiza tunaokubaliana nao hivi leo.

Na ni ajabu kuendelea kuamini miujiza ya kina Musa na story za kina Nuhu kuhusu safina na tukapinga kwa miujiza ya viongozi wa dini wakileo..

Maana dunia ya leo iko ndivyo sivyo yule unaeambiwa ni mmbaya kumbe siye pia kwa yule unaeaminishwa ni mzuri pia kumbe sivyo.

Nachoamini hii dunia imewekwa mfumo wa historia wa karne zilizopita ili watu wasipate kujua ni wapi walipo na ni nini kinachoendelea wakati huu waliopo....Si ajabu kukuta mtu anakwambia wachungaji ni Mafreemason na hata miujiza yao ni ya kishetani.

Inatia mashaka kujiona tuko sahihi kuishi katika maisha ya vizazi vilivyopita. Hebu tujiulize kama wakati wa enzi za Yesu na mitume wengine tungekuwapo tungeamini katika miujiza yao?! Maana hata katika maandiko pia tunashuhudia watu wakiwapinga waziwazi hawa mitume wetu,..

Kitu ambacho kilipelekea kufupisha maisha ya Yesu katika dunia hii lakini kwa maandiko bado tuliamini Yesu alikufa kwa Ukombozi wa ulimwengu. Musa katika miujiza anatumia nyoka wa Miujiza kama ambavyo aliamliwa na Mungu ukirejea maisha ya leo huyu nyoka ni kiumbe mwenye laana mbele za Mungu. Nini maana yake hapo?!

Freemasons wana siri kubwa sana ya huu ulimwengu kwa hivyo mnapoendelea kuwa kimya zaidi ni kufanya mwanadamu asiweze kujitambua ni wakati wenu sasa kuweza kuzima hizi porojo zote tunazoaminishwa kuwa nyinyi ni watu wabaya.
 
Siri inaweza kuwa+ au - , akili ku mkichwa .

Kuhusu swala la kujitambua inatokana na elimu anayopata MTU husika kama Ina mjenga ki akili, kuweza kutatuwa changamoto zinazo mzunguka.

Watu kupanga foleni kubwa, mpaka wengine kufariki njiani, Ili kupata kikombe Cha Babu,
Watu kukanyagana mpaka kufariki wakimlilia shujaa,
Washabiki wa yanga kufanya party ya kupakazana mav! Baada ya kuifunga azamu,
Watu kukanyagana wakigombania mafuta ya nguruwe(upako)( buludoza)mpaka kusababisha vifo,

Ni wazi wa TZ wengi sana na Kwa bahati mbaya Wana matatizo ya afya ya akili 😭😭😭
 
HABARI Wana JF Mwenye Kujua hivi kwa nini hii Dini ni siri mambo yake, na kwa nini kila aliyepo huko ni tajiri.
20230903_103550.jpg
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom