Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imani kali ya ukatoliki ndio ilimzuia mwalimu kuingia katika freemason lakini kuna wakati ilikuwa karibu kuingia kutokana na mashinikizo mbalimbali ya marafiki zake kama kina Chifu Fundikira, George Kahama na wengineo. Kwa Tanzania mwanzoni llikuwa kundi la Wazungu na wahindi tu lakini baadae wakajiunga kina sisi na kimantiki ni kuwa kundi hili lilitambulika kuwa muhimu katika kurahisisha mafanikio kibiashara na kisiasa.
Kuhusu Ben hakuna ubishi ni mmoja wao na ndiye alikuwa chaguo lao hata miaka mitatu kabla ya uchaguzi wa 2005. Wapo wengi tu lakini kutokana na ukame wa information miongoni mwa watanza tunaishia kuwaita dini ya mashetani.
Ni kweli kuwa kwa nje freemason inapswa kuwa kundi la watu waliojitolea kutumia elimu, vipaji na uwezo wao kisiasa, kiuchumi na kijamii kusaidia jamii zao na dunia kwa ujumla. Lakini kama ilivyo makundi mwengine mengi yanayoendeshwa kwa usiri, Freemasonry imekuwa kundi la kulinda, kuunganisha na kuendeleza ufisadi. Lakini hali hii inatofautiana kutoka chapter/lodge moja haid nyingine..
Makundi mengine yanayoshabihiana na hili na mara nyingi huwa ni front ya freemasonry ni Rotary Clubs, Lion Clubs na hata rotaract ambayo mara nyingi huwa ni recruitment ground for young members.
Kitabu cha Andy Chande ni muhimu kukisoma ingawa kuna mengi yalilazimishwa kuondolewa kwa maslahi ya kundi hilo, serikali kadhaa na wanasisa na watu binafsi.
Tanzanianjema
..nimekukubali mzee nimepata elimu kidogo kuhusu hawa mabazazi
unajua sheikh yahaya ktk prog yake ya jumatatu ktk chanel 10 anawadanganya watu kinoma maana kila kitu kwake kina alama ya mashetani na freemansons...
Mbona kama umeshasepa kiaina hivi?
Mcheza Karate, ni kweli ajali ya emvi spaisi ninyi ndio wahusika? Kwa nini?
Dunia imewekwa kwenye WOGA na HOFU kubwa huku mabazazi hao wakivuna kwa ulaiiin.Ukifuata ushauri wa Sheikh Yahya hata kula ama kuangalia tu JF utaona ni dhambi. Elimu ni kitu muhimu sana hapa duniani, tumepewa na Mwenyezi Mungu ili tujitambue sio tu kudanganyika na kukubali kila ujinga tuambiwao na hawa kina Sheikh Yahya na wazungu wa unga kina Mama Rwakatare na wachungaji fake dizaini ya Mwingira.
ni kweli wengi wao ni wanachama wa chini, ila viongozi wa dini ni wengi na wanahitajika zaidi ili kufikia mission yetu ya kuwa na dunia yenye amani.
Acha kudanganya watu.
Eti viongozi wa dini wanahitajika kufanya nn,
Unafikiri watu hatujui kuwa.hii ni kazi ya lucifer kutoa makafara?
Tushafunguka sikunyingi
Mnanwaga damu za watu kwaajili ya kuimarisha madhabahu zenu nani asiyejua!!!
Na kazi yenu ni kuharibu image ya kanisa kupitia viongozi wa dini ila ss mjipange Roho wa Mungu yupo kazini.
Jamani cjui tu jinsi ya ku share video hapa watu wangejionea hawa secret code mambo wanayoyafanya
God is with those who believe in Him
God is with those who believe in Him[/aamen