Fremu zinazojengwa hapa eneo la Jeshi Lugalo hadi njiapanda ya Kawe zitapangishwa raia au kwa askari tu?

Ni Mradi wa Kikosi #34KJ hapo Lugalo ambao Unajumuiisha Askari wa Vyeo mbalimbali (japo wale Commissioned ndiyo wengi ) ambapo walitakiwa kuzijenga Wenyewe na wakishaanza Biashara hawatodaiwa Kodi kwa (ndani) ya miaka Miwili.
Akihamishwa inakuaje hapo
 
Hizi fremu ni nyingi sana kama ziko chini ya JW wamefanya la maana sana kuliko kulivyokuwa na pori linatufugia viumbe hatarishi na misitu isiyokuwa na faida.

Yaani ukifika usawa wa Lugalo upande wa kushoto (kama unatoka Mwenge kwenda Tegeta mkono wa kulia) zimejengwa hadi kona ya kwenda kawe yaani ni nyingi sana!

Je, hizi zitapangishwa kwa familia za askari tu au hata mtu ambaye sio askari ataruhusiwa?
Kigezo cha chini uwe umepitia mgambo
 
Mimi nashangaa eti ipo siku itachukuliwa nchi

Kweli tembea uone
Hapa Jirani yangu kuna kambi ndogo ya wanajeshi tena ni residential area na ninapita kila siku mlangoni wamekaa askari wawili bila silaha ni nchi tajiri na wala hawaoni kama ni tatizo

Leo sisi tuna nini nchi ishikwe [emoji23][emoji23]
CHADOMO na vibweka vyao.
 
Ndugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapo
'Colito' Mkuu
 
Kuna mtu aliwahi ni introduce kwenye huo mchongo!

Ilikuwa ni lazma utafute mwanajeshi mmoja uingie nae mkataba wa ujenzi ujenge fremu zako ila zinakuwa chini yake kimkataba kisha utafanyia biashara kibingwa.

Nilichomoaga hio nikaona ufala
Mkuu ulitaka kujichifu magungo.
 
Ni Mradi wa Kikosi #34KJ hapo Lugalo ambao Unajumuiisha Askari wa Vyeo mbalimbali (japo wale Commissioned ndiyo wengi ) ambapo walitakiwa kuzijenga Wenyewe na wakishaanza Biashara hawatodaiwa Kodi kwa (ndani) ya miaka Miwili.
Una uhakika na hicho ukisemacho?
 
Mimi nashangaa eti ipo siku itachukuliwa nchi

Kweli tembea uone
Hapa Jirani yangu kuna kambi ndogo ya wanajeshi tena ni residential area na ninapita kila siku mlangoni wamekaa askari wawili bila silaha ni nchi tajiri na wala hawaoni kama ni tatizo

Leo sisi tuna nini nchi ishikwe [emoji23][emoji23]
Ungesema uko nchi gani ndio tungejua sisi tuna kitu gani dhidi ya hiyo nchi.
 
Askari sio raia kwani?.
Askari inasimama yenyewe askari msimamia sheria, hali ya Uraia ashauvuka tayari, Na Raia ni raia tu kufuata Sheria

Ndio Maana Askari anaweza ombwa nchi yeyote kukiwa na uhitajikaji wake akasimamie Sheria nchi nyingine.
 
Ndugu yangu nadhani hufahamu umuhimu wa 34 Kj hapa Dar es Salaam na Tanzania kwa ujumla. Sisi tunaiita 'CORINTO'. Siwezi sema zaidi maana nilikula kiapo. Bila 'CORINTO' utawala wa Rais Rene wa Seychelles usinge- survive. Niishie hapo
Kuna kambi zipo Tanzania nadhan kwa mtu wa jeshini au wale wa kitengo wanazijua hzo usitegemee kukuta miradi kama hayo.
Lugalo imebaki kama administrative Barracks tu lakn nguvu kubwa ilishatolewa so usije ukadhan JWTZ ni zembe kama unavyofikiri kichwan mwako.
 
Majukumu ya 34Kj hayajawahi kubadilika. 1. Kuwalinda viongozi waandamizi wa JWTZ. 2. Kuulinda mji wa Dar es Salaam. 3. Kuwa tayari kwa lolote muda wowote. Ndiyo maana wako standby 24/7. Sijawahi Fikiri JWTZ ni zembe ila napiga uamuzi wa kujenga vibanda vya biashara kwenye fence yake. Hata Ingekuwa adminstrative unit, kumkaribisha raia yeyote kukaribia kambi kiasi hicho haikubaliki kiusalama.
 
Askari inasimama yenyewe askari msimamia sheria, hali ya Uraia ashauvuka tayari, Na Raia ni raia tu kufuata Sheria

Ndio Maana Askari anaweza ombwa nchi yeyote kukiwa na uhitajikaji wake akasimamie Sheria nchi nyingine.

Jibu mujarabu kabisa hili
 
Back
Top Bottom